Maprodyuza wangu wa muda wote hapa bongo

Maprodyuza wangu wa muda wote hapa bongo

kwa uozo uliuweka hapo acha nikuache na siredi yako, menseni selekta?
 
Umeanza kufatilia muziki mwaka gani?!

Yaani unataja producers wakali wa muda wote alafu unamuweka Shedy Clever,Abydad na Lollipop alafu kwenye hiyo list yako hayupo Profesa Ludigo,Master Jay,Marijani,Miika Mwamba,late Roy wala P.Funk Majani?!

We jamaa Umeanza kufatilia Muziki mwaka 2010...ilipasa useme hiyo ni list ya producer bora toka uanze kusikiliza muziki mwaka 2010
 
Jamani msiwape watu ujiko usio na tija kwao.....Bongo hakuna ma-producers wa ukweli, wote ni uchwara tu. Majani si ni huyu ambaye akili yake imeungua bangi au kuna mwingine mwenye akili timamu?
Umeanza kumjua Majani mwaka gani?!
 
kupitia list ya maproducer wake nimeshajua aina ya miziki jamaa anayoipenda
 
Kuna dogo mmoja haaaaaaaaaa wacha tu bado ipo siku yake watu watamkubali tu anaitwa JUMSA au JUMA KAZI.....Revenger, Kazi one, Masai, Mama Zungu Bagamoyo, na sehemu nyingine.........Ana uwezo kwa kweli........Wasanii wengi wenye uwezo wanamjua sana huyu Dogo.......
 
Master J
P - Funk (Majani)
Miika Mwamba
Ludigo
Marco Chali
Nahreal
Man Walter
Side Comorien (Mr Nice kamfaidi sana huyu)
Bon Love
Hammy B (Habari Ndio Hiyo best Beat toka kwa huyu jamaa)
Lucci (Ngoma za jamaa toka Park Lane C-PWAA)
Duke (Ngoma za Tamaduni Music)
Mensen Selector (Difatality studio)
 
Jamani msiwape watu ujiko usio na tija kwao.....Bongo hakuna ma-producers wa ukweli, wote ni uchwara tu. Majani si ni huyu ambaye akili yake imeungua bangi au kuna mwingine mwenye akili timamu?
Nadhani wanamsema Majani Producer wa song kama hizi
Starehe
Ugali
Jinsi Kijana
Mtoto Idd
Mgambo
Staki Dem
Ina niuma sana
Stori tofauti 3
Maisha ya Boarding
Nipe Tano
 
mika mwamba
p funk majani
alan mapigo shente
said comorien
enrico
pancho
hermy b
man wolter
boni love
master jay
bizzman
hao wengine wa kawaida sana.
NB.
producer mzuri ni yule anayetengeneza best song na siyo hit song.@darrengold am out.
Naam na kwasasa Bongo producers sidhani kama wapo, kuna kipindi Master J alisema kuna wagonga Beat ila siyo producers.

Huwezi sema Abbydad ni Producer wa wakati wote ukaacha waliotengeneza nyimbo zinazo ishi kama
Starehe
Msinitenge
Mshkaji mmoja
Tanzania vitani
Mpiga Debe
 
Roy alikuwa mkali, ngoma zote kali za Abby Skills enzi hizo katengeneza yeye, dada yake Enika pia alimtengenezea baridi kama hili bonge la song lile.
Baridi ile Beat jamaa anasema alikaa Studio zaidi ya siku 5 akikuna kichwa, sishangai ile ngoma kuishi mpaka leo
 
Duke ananipagawisha kwa kusuka beat za tamaduni musik..bt na j rider wa tongwe nae mkali
 
1, T-touch
2, mesen selekta
3, shebby clever
4, jomba njoo(njoo studio)

5, Abbydad
6, lolipop(classic music)
je, wewe unamkubali yup u team weka pembeni
Wa muda wote ndo upuuzi huo? Uliza wakubwa zako kimuziki tukuelekeze ndugu. Hii ni top 2

Mika Mwamba

Majani.
 
wewe jamaa hujui mziki, sasa hao ni maproduza gani sasa? alafu et nawe umekoleza "wa muda wote" hahahahaahah wewe kichaa, unamjua P funky Majani wewe?

watoto wa siku hizi ni wajinga wajinga tu, et produza rollpop! damn.
 
Master J
P - Funk (Majani)
Miika Mwamba
Ludigo
Marco Chali
Nahreal
Man Walter
Side Comorien (Mr Nice kamfaidi sana huyu)
Bon Love
Hammy B (Habari Ndio Hiyo best Beat toka kwa huyu jamaa)
Lucci (Ngoma za jamaa toka Park Lane C-PWAA)
Duke (Ngoma za Tamaduni Music)
Mensen Selector (Difatality studio)

No doubts about this list..mle mle kabisa. The rest zilizoandikwa ni crap.
 
Nadhani wanamsema Majani Producer wa song kama hizi
Starehe
Ugali
Jinsi Kijana
Mtoto Idd
Mgambo
Staki Dem
Ina niuma sana
Stori tofauti 3
Maisha ya Boarding
Nipe Tano

Sasa mbona hatuzisikii leo hii? Producer huwa anatengeneza kitu kilichoenda shule si ubabaishaji tu.
 
Back
Top Bottom