Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAHA P0Akwa uozo uliuweka hapo acha nikuache na siredi yako, menseni selekta?
Umeanza kumjua Majani mwaka gani?!Jamani msiwape watu ujiko usio na tija kwao.....Bongo hakuna ma-producers wa ukweli, wote ni uchwara tu. Majani si ni huyu ambaye akili yake imeungua bangi au kuna mwingine mwenye akili timamu?
kupitia list ya maproducer wake nimeshajua aina ya miziki jamaa anayoipendaUmeanza kufatilia muziki mwaka gani?!
Yaani unataja producers wakali wa muda wote alafu unamuweka Shedy Clever,Abydad na Lollipop alafu kwenye hiyo list yako hayupo Profesa Ludigo,Master Jay,Marijani,Miika Mwamba,late Roy wala P.Funk Majani?!
We jamaa Umeanza kufatilia Muziki mwaka 2010...ilipasa useme hiyo ni list ya producer bora toka uanze kusikiliza muziki mwaka 2010
Q the Don uyu jamaa nlikua namsoma sana sijui kapotelea wapi kwa wapenda hip hop sidhan kama unaweza kuwa humfahamu uyu jamaa alikua na touch zake za kipekeeQ the don
AINA GANI TAJAkupitia list ya maproducer wake nimeshajua aina ya miziki jamaa anayoipenda
Itakuwa singeli na kiduku.AINA GANI TAJA
SNGEL UMEK0SEAItakuwa singeli na kiduku.
Na umeanza kupenda muziki na kuufatilia mwaka 2010.
Nadhani wanamsema Majani Producer wa song kama hiziJamani msiwape watu ujiko usio na tija kwao.....Bongo hakuna ma-producers wa ukweli, wote ni uchwara tu. Majani si ni huyu ambaye akili yake imeungua bangi au kuna mwingine mwenye akili timamu?
Haaa jamaa alisampo Make It Rain akiwa na Byser, anajua kiasi chake"Pancho latino" jamaa anajua sana.
Naam na kwasasa Bongo producers sidhani kama wapo, kuna kipindi Master J alisema kuna wagonga Beat ila siyo producers.mika mwamba
p funk majani
alan mapigo shente
said comorien
enrico
pancho
hermy b
man wolter
boni love
master jay
bizzman
hao wengine wa kawaida sana.
NB.
producer mzuri ni yule anayetengeneza best song na siyo hit song.@darrengold am out.
Baridi ile Beat jamaa anasema alikaa Studio zaidi ya siku 5 akikuna kichwa, sishangai ile ngoma kuishi mpaka leoRoy alikuwa mkali, ngoma zote kali za Abby Skills enzi hizo katengeneza yeye, dada yake Enika pia alimtengenezea baridi kama hili bonge la song lile.
Wa muda wote ndo upuuzi huo? Uliza wakubwa zako kimuziki tukuelekeze ndugu. Hii ni top 21, T-touch
2, mesen selekta
3, shebby clever
4, jomba njoo(njoo studio)
5, Abbydad
6, lolipop(classic music)
je, wewe unamkubali yup u team weka pembeni
Master J
P - Funk (Majani)
Miika Mwamba
Ludigo
Marco Chali
Nahreal
Man Walter
Side Comorien (Mr Nice kamfaidi sana huyu)
Bon Love
Hammy B (Habari Ndio Hiyo best Beat toka kwa huyu jamaa)
Lucci (Ngoma za jamaa toka Park Lane C-PWAA)
Duke (Ngoma za Tamaduni Music)
Mensen Selector (Difatality studio)
Nadhani wanamsema Majani Producer wa song kama hizi
Starehe
Ugali
Jinsi Kijana
Mtoto Idd
Mgambo
Staki Dem
Ina niuma sana
Stori tofauti 3
Maisha ya Boarding
Nipe Tano