Maprofessa wetu tatizo ni elimu au vyuo walivyosomea?

Mwalimu-Mkuu

Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
75
Reaction score
202
Kwa jina la Jamhuri salaam wana bodi,

Tatizo ni nini wana jamvi?

Kila ninapopata nafasi ya kumfatilia profesa na baadhi ya madaktari wanaofahamika ambao wengi wao wana nyadhifa mbalimbali hasa za kisiasa, nashindwa kuelewa kama ni wasomi au la!

Unapata professa anatoa povu tu na haeleweki hata kwenye jambo ambalo hata mtu alieacha shule darasa la 6 kama mimi analielewa vizuri kabisa, akipewa nafasi ana fanya maamuzi ya hovyo kabisa.

Ni muda mwafaka tujiulize elimu ya juu ina mchango gani kwenye jamii na kwenye taifa kwa ujumla.

Kazi iendelee.
 
Umeona Prof Asad kawachana kuw asilimia 60 ya wasomi hawana wanachokijua zaidi ya kusifu na kupiga makofi, Huyu Mzee Mungu amuweka anachana mkeka sana yani, limtu lima ma pHD hata matatu lakini ni la hovyo kuliko polepole, sasa embua ngalia Bashiru huyu eti ndio alikua mwalimu wa Chuo stupide kabisa kama sio stiupidy
 
Umeona Prof Asad kawachana kuw asilimia 60 ya wasomi ni umbwa tu maana hawana wanachokijua zaidi ya kusifu na kupiga makofi, Huyu Mzee Mungu amuweka anachana mkeka sana yani, limtu lima ma pHD hata matatu lakini ni la hovyo kuliko polepole, sasa embua ngalia Bashiru huyu eti ndio alikua mwalimu wa Chuo stupide kabisa kama sio stiupidy
60% utopolo ! hii ni hasara kubwa sana kwa Taifa .
 
Umeona Prof Asad kawachana kuw asilimia 60 ya wasomi ni umbwa tu maana hawana wanachokijua zaidi ya kusifu na kupiga makofi, Huyu Mzee Mungu amuweka anachana mkeka sana yani, limtu lima ma pHD hata matatu lakini ni la hovyo kuliko polepole, sasa embua ngalia Bashiru huyu eti ndio alikua mwalimu wa Chuo stupide kabisa kama sio stiupidy
Kabudi nae alikuwa lecture😂
 
Msemo mpya ACQUIRED STUPIDITY.

namimi naongezea awamu ya tano ilitengeza Collective Stupidity.
 
Umeona Prof Asad kawachana kuw asilimia 60 ya wasomi ni umbwa tu maana hawana wanachokijua zaidi ya kusifu na kupiga makofi, Huyu Mzee Mungu amuweka anachana mkeka sana yani, limtu lima ma pHD hata matatu lakini ni la hovyo kuliko polepole, sasa embua ngalia Bashiru huyu eti ndio alikua mwalimu wa Chuo stupide kabisa kama sio stiupidy
Anaongea hivyo kasahau kua walimfukuza kazi kwa utendaji wake mbovu.
 
Back
Top Bottom