Mwalimu-Mkuu
Member
- Feb 22, 2013
- 75
- 202
Kwa jina la Jamhuri salaam wana bodi,
Tatizo ni nini wana jamvi?
Kila ninapopata nafasi ya kumfatilia profesa na baadhi ya madaktari wanaofahamika ambao wengi wao wana nyadhifa mbalimbali hasa za kisiasa, nashindwa kuelewa kama ni wasomi au la!
Unapata professa anatoa povu tu na haeleweki hata kwenye jambo ambalo hata mtu alieacha shule darasa la 6 kama mimi analielewa vizuri kabisa, akipewa nafasi ana fanya maamuzi ya hovyo kabisa.
Ni muda mwafaka tujiulize elimu ya juu ina mchango gani kwenye jamii na kwenye taifa kwa ujumla.
Kazi iendelee.