Ile team ya kubangua koro showNi dhahiri kuwa baada ya Uganda kuichapa Cape Verde pale Kampala na hatimaye kufuzu AFCON 2019, Tanzania ina nafasi kubwa sana ya kufuzu pia.
Sasa wakati timu yetu ikisubiri kutupa zawadi hiyo tuliyosubiri kwa muda mrefu tangu 1980, na kwa vile Mh. Rais JPM ni mwanamichezo ni dhahiri kuwa hato tuangusha. Namaanisha atatangaza siku kadhaa za mapumziko ya Kitaifa kuisapoti timu na kusherehekea kufuzu huko.
Swali ni je! Mh. Rais atangaze siku ngapi za mapumziko? Mi nadhani siku tatu zitafaa sana. Yani mfano tukifuzu kesho jumapili basi tupumzime hadi jumatano.
Sasa nyie wachezaji wa Taifa Stars msituharibie ratiba yetu ya mapumziko. Inatakiwa mshinde tu... Watu tumeshajipanga kwa long break
Tutajua keshoDaaaah ina maaana Karbia members robo tatu wa JF hawajawahi iona STARS ikicheza Fainali za AFCON
Jiandae kisaikolojia kupata maumivu ya mwaka ndugu,timu yetu tunaijua.Ni dhahiri kuwa baada ya Uganda kuichapa Cape Verde pale Kampala na hatimaye kufuzu AFCON 2019, Tanzania ina nafasi kubwa sana ya kufuzu pia.
Sasa wakati timu yetu ikisubiri kutupa zawadi hiyo tuliyosubiri kwa muda mrefu tangu 1980, na kwa vile Mh. Rais JPM ni mwanamichezo ni dhahiri kuwa hato tuangusha. Namaanisha atatangaza siku kadhaa za mapumziko ya Kitaifa kuisapoti timu na kusherehekea kufuzu huko.
Swali ni je! Mh. Rais atangaze siku ngapi za mapumziko? Mi nadhani siku tatu zitafaa sana. Yani mfano tukifuzu kesho jumapili basi tupumzime hadi jumatano.
Sasa nyie wachezaji wa Taifa Stars msituharibie ratiba yetu ya mapumziko. Inatakiwa mshinde tu... Watu tumeshajipanga kwa long break
SimjuiUnamjua Rais wa Tanzania?
Mi sijawahi aisee, miaka 38 iliyopita ndio ilishiriki, hii ni aibu, Taifa stars tuondoleeni hii aibu jamani..!Daaaah ina maaana Karbia members robo tatu wa JF hawajawahi iona STARS ikicheza Fainali za AFCON
Mapunziko ya nn mechi tunatoa drooNi dhahiri kuwa baada ya Uganda kuichapa Cape Verde pale Kampala na hatimaye kufuzu AFCON 2019, Tanzania ina nafasi kubwa sana ya kufuzu pia.
Sasa wakati timu yetu ikisubiri kutupa zawadi hiyo tuliyosubiri kwa muda mrefu tangu 1980, na kwa vile Mh. Rais JPM ni mwanamichezo ni dhahiri kuwa hato tuangusha. Namaanisha atatangaza siku kadhaa za mapumziko ya Kitaifa kuisapoti timu na kusherehekea kufuzu huko.
Swali ni je! Mh. Rais atangaze siku ngapi za mapumziko? Mi nadhani siku tatu zitafaa sana. Yani mfano tukifuzu kesho jumapili basi tupumzime hadi jumatano.
Sasa nyie wachezaji wa Taifa Stars msituharibie ratiba yetu ya mapumziko. Inatakiwa mshinde tu... Watu tumeshajipanga kwa long break
Siku unaingia kaburini utakavyokuwa unatuona.Taifa stars ikishindwa kufuzu sitakaa nishabikie soka la bongo mpaka nitakapoingia kaburini
Ila tusipojiandaa kisaikolojia maumivu yatakuwa makali sana, mi najiandaa kwa lolote.., sitasahau maumivu aliyonipa yule Hassan Sass mwaka 2002 world cup pale Senegal alipopokonywa tonge tumboni (sio mdomoni) na Uturuki, hadi leo nikikumbuka yale maumivu yanarudi tena.Jiandae kisaikolojia kupata maumivu ya mwaka ndugu,timu yetu tunaijua.
Jitu lenyewe linalala na mafaiil yetu mwaka wa 3 lakini tabu iko palepale unategemea mini linakuteuwa unaishia kutumbuliwa linakutana na bililionea namba ngapi sijui ameishia kuuza vitu vyote kwenye shelfu ya vod c limevuruga mnada wa korosho kama Dr shika alivyokuja na bei yake mfukoniWakuu atatupa mapumziko. Mbona kama hammuamini jamaa?
haha hahaSiku unaingia kaburini utakavyokuwa unatuona. View attachment 937966