Mapumziko ya Kitaifa baada ya Ushindi wa Taifa Stars

Mapumziko ya Kitaifa baada ya Ushindi wa Taifa Stars

Ni dhahiri kuwa baada ya Uganda kuichapa Cape Verde pale Kampala na hatimaye kufuzu AFCON 2019, Tanzania ina nafasi kubwa sana ya kufuzu pia.

Sasa wakati timu yetu ikisubiri kutupa zawadi hiyo tuliyosubiri kwa muda mrefu tangu 1980, na kwa vile Mh. Rais JPM ni mwanamichezo ni dhahiri kuwa hato tuangusha. Namaanisha atatangaza siku kadhaa za mapumziko ya Kitaifa kuisapoti timu na kusherehekea kufuzu huko.

Swali ni je! Mh. Rais atangaze siku ngapi za mapumziko? Mi nadhani siku tatu zitafaa sana. Yani mfano tukifuzu kesho jumapili basi tupumzime hadi jumatano.

Sasa nyie wachezaji wa Taifa Stars msituharibie ratiba yetu ya mapumziko. Inatakiwa mshinde tu... Watu tumeshajipanga kwa long break
Ile team ya kubangua koro show
 
Jiandae kisaikolojia kupata maumivu ya mwaka ndugu,timu yetu tunaijua.
 
Taifa stars ikishindwa kufuzu sitakaa nishabikie soka la bongo mpaka nitakapoingia kaburini
 
Nimeangalia statistics kwa umakini mkubwa, nimegundua hata tukipigwa 1 - 0, bado tunafuzu, ila tukipigwa 2 - 0 ndio bye bye
 
Taifa stars ikishinda hiyo kesho nauhakika hayo mashindano yataahirishwa, unashindaje ikiwa una mchezaji kama Kessy anaepigwa makofi na wachezaji wenzake
 
Ni dhahiri kuwa baada ya Uganda kuichapa Cape Verde pale Kampala na hatimaye kufuzu AFCON 2019, Tanzania ina nafasi kubwa sana ya kufuzu pia.

Sasa wakati timu yetu ikisubiri kutupa zawadi hiyo tuliyosubiri kwa muda mrefu tangu 1980, na kwa vile Mh. Rais JPM ni mwanamichezo ni dhahiri kuwa hato tuangusha. Namaanisha atatangaza siku kadhaa za mapumziko ya Kitaifa kuisapoti timu na kusherehekea kufuzu huko.

Swali ni je! Mh. Rais atangaze siku ngapi za mapumziko? Mi nadhani siku tatu zitafaa sana. Yani mfano tukifuzu kesho jumapili basi tupumzime hadi jumatano.

Sasa nyie wachezaji wa Taifa Stars msituharibie ratiba yetu ya mapumziko. Inatakiwa mshinde tu... Watu tumeshajipanga kwa long break
Mapunziko ya nn mechi tunatoa droo
 
Mapumziko ya kitaifa ya week nzima yanatakiwa kufanywa siku ccm ikitoka madarakani.
 
Taifa stars ikishindwa kufuzu sitakaa nishabikie soka la bongo mpaka nitakapoingia kaburini
Siku unaingia kaburini utakavyokuwa unatuona.
images(6).jpeg
 
Jiandae kisaikolojia kupata maumivu ya mwaka ndugu,timu yetu tunaijua.
Ila tusipojiandaa kisaikolojia maumivu yatakuwa makali sana, mi najiandaa kwa lolote.., sitasahau maumivu aliyonipa yule Hassan Sass mwaka 2002 world cup pale Senegal alipopokonywa tonge tumboni (sio mdomoni) na Uturuki, hadi leo nikikumbuka yale maumivu yanarudi tena.
 
Wakuu atatupa mapumziko. Mbona kama hammuamini jamaa?
Jitu lenyewe linalala na mafaiil yetu mwaka wa 3 lakini tabu iko palepale unategemea mini linakuteuwa unaishia kutumbuliwa linakutana na bililionea namba ngapi sijui ameishia kuuza vitu vyote kwenye shelfu ya vod c limevuruga mnada wa korosho kama Dr shika alivyokuja na bei yake mfukoni
 
KOCHA AFANYIE KAZI YAFUATAYO:

1. Aachane kabisa na lile soka tulilocheza ugenini kule cape verde la kupaki basi

2. Ashambulie mwanzo mwisho na amiliki mpira muda wote ili kumyima adui mwanya wa kutuangamiza.

3. Wacheze pasi ndefu za chini chini lakini wakijiloga kucheza mipira ya juu wameumia maana majamaa ni marefu sana na nimesikia kuwa wameapa bora wafie uwanjani mbele ya mashabiki wao kuliko kufungwa.

4. Apunguze kumwamini sana SAMATTA na kumwogopa kwani mara nyingine hata kikosi anapanga yeye na kuwapendelea marafiki zake ambao viwango vyao vimeshaashuka ili kuwarudisha kwenye chati kama akina ULIMWENGU.

5. Wasikate tamaa mbele ya kelele za mashabiki wao amabao watakuwa wengi sana hata kama wakiwa wakwanza kufunga, wapambane na kurudisha bao hilo na kuongeza ushindi.

BAADA YA USHINDI WAKATI WA KUPOKEA TIMU.

1. Brass band za majeshi yote ziwe uwanjani na vifaa vyao na uniform full mzuka kuwapokea vijana hao.

2. Kikosi cha polisi cha farasi kitangulie wakiwa wamebeba bandera ya Taifa

3. Liwepo gari kubwa la wazi lililopambwa rangi za Taifa liwabebe mashujaa hao

4. Wananchi wakusanyike barabarani na ikiwezekana maduka yafungwe na shughuli zote zisimame kama ilivyokuwa alipokuja PAPA PAUL II

5. Ziwepo mbwembwe na sherehe za kila namna na vyombo vya habari vya nje na ndani virushe live ili h abari ziwafikie raisi wa fifa, caf na musonye popote walipo duniani.

6. Viongozi wa serikali wafike uwanjani wakiwa wamevalia jezi za timu ya taifa ili kuwapokea mashujaa.

7. Maandamano yapite mjini wakiongozwa na kundi kubwa la brass band za majeshi yote huku wakitembea polepole na kupiga nyimbo za kizalendo kama tuna imani na.... oya..oya..
 
Back
Top Bottom