Mapumziko ya Kitaifa baada ya Ushindi wa Taifa Stars

Hahahha Taifa Stars hiyo ni sawa na mimba utaambiwa imetoka ina miezi 6.
 
Sawa mwalimu kashasha,

Kwani hujui samata hachezi
 
Kesho wakichemka inatakiwa wakirudi, wafikie Mtwara wakayapakie yale magunia ya korosho kwenye magari ya majeshi.
 
Sawa mwalimu kashasha,

Kwani hujui samata hachezi
Najua ana kadi mbili lakini ulimsikia kocha anasema utamwita tu h ivyo hivyo na uwepo wake ni hamasa? sawa yeye ni captain uwepo wake ni wa muhimu saana ila ugonvi wangu ni pale anapowapigia chapuo mabest zake wapangwe hata kama wameshafulia hilo linaleta madhara kwenye kusaka ushindi
 
hata hivo hajaenda Lesotho yupo bongo
 
Kwenye utawala wangu hakuna mwenye kibendi atarudi shuleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…