Draw!! How..?? Tunahitaji ushindi leo.. tukishinda tunafikisha point 8 kitu ambacho lethoto wala carpe verde hawawezi fikia hizo points..Dah Uganda wamenifurahisha sana, yaani hapo tunahitaji draw tu tutoboe
Wanapigwa
Kabisaaa,Yani hawataaminiT/Stars kupata ushindi ugenini ni ndoto.
Kabisaaa,Yani hawataamini
Mkuu kupumzika haimaanishi umasikini na kufanya kazi sana haimaanishi utajiri. Tunapoteza mapato mengi huko kwa wakwepa kodi, wapiga madili Serikalini, uzembe wa baadhi ya wakusanya kodi, mikakati mibovu etc, USA wana holidays nyingi kuliko sisi ila wanatuzidi maendeleo.we unafanya shuguri gani, hivi unajua ni kiasi gani cha mapato tunayopoteza siku za mapumziko halafu mnataka muondokane na umasikini
unamakadilio ya juu MzeeKOCHA AFANYIE KAZI YAFUATAYO:
1. Aachane kabisa na lile soka tulilocheza ugenini kule cape verde la kupaki basi
2. Ashambulie mwanzo mwisho na amiliki mpira muda wote ili kumyima adui mwanya wa kutuangamiza.
3. Wacheze pasi ndefu za chini chini lakini wakijiloga kucheza mipira ya juu wameumia maana majamaa ni marefu sana na nimesikia kuwa wameapa bora wafie uwanjani mbele ya mashabiki wao kuliko kufungwa.
4. Apunguze kumwamini sana SAMATTA na kumwogopa kwani mara nyingine hata kikosi anapanga yeye na kuwapendelea marafiki zake ambao viwango vyao vimeshaashuka ili kuwarudisha kwenye chati kama akina ULIMWENGU.
5. Wasikate tamaa mbele ya kelele za mashabiki wao amabao watakuwa wengi sana hata kama wakiwa wakwanza kufunga, wapambane na kurudisha bao hilo na kuongeza ushindi.
BAADA YA USHINDI WAKATI WA KUPOKEA TIMU.
1. Brass band za majeshi yote ziwe uwanjani na vifaa vyao na uniform full mzuka kuwapokea vijana hao.
2. Kikosi cha polisi cha farasi kitangulie wakiwa wamebeba bandera ya Taifa
3. Liwepo gari kubwa la wazi lililopambwa rangi za Taifa liwabebe mashujaa hao
4. Wananchi wakusanyike barabarani na ikiwezekana maduka yafungwe na shughuli zote zisimame kama ilivyokuwa alipokuja PAPA PAUL II
5. Ziwepo mbwembwe na sherehe za kila namna na vyombo vya habari vya nje na ndani virushe live ili h abari ziwafikie raisi wa fifa, caf na musonye popote walipo duniani.
6. Viongozi wa serikali wafike uwanjani wakiwa wamevalia jezi za timu ya taifa ili kuwapokea mashujaa.
7. Maandamano yapite mjini wakiongozwa na kundi kubwa la brass band za majeshi yote huku wakitembea polepole na kupiga nyimbo za kizalendo kama tuna imani na.... oya..oya..
Tunachohitaji leo nikuomba na wachezaji wajitume tushinde kwanzaNi dhahiri kuwa baada ya Uganda kuichapa Cape Verde pale Kampala na hatimaye kufuzu AFCON 2019, Tanzania ina nafasi kubwa sana ya kufuzu pia.
Sasa wakati timu yetu ikisubiri kutupa zawadi hiyo tuliyosubiri kwa muda mrefu tangu 1980, na kwa vile Mh. Rais JPM ni mwanamichezo ni dhahiri kuwa hato tuangusha. Namaanisha atatangaza siku kadhaa za mapumziko ya Kitaifa kuisapoti timu na kusherehekea kufuzu huko.
Swali ni je! Mh. Rais atangaze siku ngapi za mapumziko? Mi nadhani siku tatu zitafaa sana. Yani mfano tukifuzu kesho jumapili basi tupumzime hadi jumatano.
Sasa nyie wachezaji wa Taifa Stars msituharibie ratiba yetu ya mapumziko. Inatakiwa mshinde tu... Watu tumeshajipanga kwa long break
Tunatakiwa tushinde sio draw bado kuna mechi moja ya kucheza kumalizia baada ya hiiDah Uganda wamenifurahisha sana, yaani hapo tunahitaji draw tu tutoboe
kufuzu kwetu ni kushinda mechi ya leo timu hizo mbili chini yetu hazitafikia point zetu vinginevyo lesotho naye nafasi atakuwa nayo.kumbuka kila timu inatakiwa icheze mechi 6Nimeangalia statistics kwa umakini mkubwa, nimegundua hata tukipigwa 1 - 0, bado tunafuzu, ila tukipigwa 2 - 0 ndio bye bye
Kwani jumla ya Games tunazotakiwa kucheza ni ngapi?Draw!! How..?? Tunahitaji ushindi leo.. tukishinda tunafikisha point 8 kitu ambacho lethoto wala carpe verde hawawezi fikia hizo points..
Okay, nilidhani mchezo wa leo ndio wa mwisho etikufuzu kwetu ni kushinda mechi ya leo timu hizo mbili chini yetu hazitafikia point zetu vinginevyo lesotho naye nafasi atakuwa nayo.kumbuka kila timu inatakiwa icheze mechi 6
tunatakiwa tushinde tufike point 8.tukifungwa tutabaki na tano na lesotho naye atakuwa na tato. mechi tunatakiwa jumla kucheza ni 6Kwani jumla ya Games tunazotakiwa kucheza ni ngapi?
YAH nimeona, hii ni ya ushindiTunatakiwa tushinde sio draw bado kuna mechi moja ya kucheza kumalizia baada ya hii
YAH thanks for correction maana bado game 2Draw!! How..?? Tunahitaji ushindi leo.. tukishinda tunafikisha point 8 kitu ambacho lethoto wala carpe verde hawawezi fikia hizo points..
Nikweli mkuu ila leo naona tunaweza kutoboaWote hapa naona hamuijui Taifa Stars vizuri.