Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Kosa la Kaseja kwenye lile goli ni lipi?Kuna watu niliwaambia acheni kumu_overrate Kaseja kipimo chake kinanza na Sudan ngoja nifukue makaburi sasa
Hili nalo neno.mengi yatasemwa.. lakini bado nasema huo uwanja haufai kwa sasa una gungu/nuksi/mikosi katika mechi za mashindano za kimtaifa
kuna timu imeuharibu huo uwanja kwa mambo yao ya hovyo
Kosa lake ni kuruhusu goli, angekuwa anapelekewa mashambulizi kama aliyokuwa anapelekewa kipa wa Sudan angekula hata tano..Kosa la Kaseja kwenye lile goli ni lipi?
Hata Hawa wakiwepo huwa sioni la ajabu taifa starsTofauti kubwa kati yetu na Sudan wao wachezaji wao wazuri wanacheza ligi yao!! kwa sasa Tanzania nguvu yetu pale mbele inategemea uwepo wa Samata na Msuva!! Tatizo lingine kwa wachezaji waliochaguliwa kulikua hakuna plan B, kwa vimo vya wachezaji wetu krosi zile za Maganga ni kazi bure
Timu gn mkuumengi yatasemwa.. lakini bado nasema huo uwanja haufai kwa sasa una gungu/nuksi/mikosi katika mechi za mashindano za kimtaifa
kuna timu imeuharibu huo uwanja kwa mambo yao ya hovyo
mechi karibu 6, hadi sasa zimechezwa pale lakini hakuna hata moja iliyotoka na ushindi ndani ya dakika 90... timu zetu si mbovu kiasi hicho, hadi kushindwa kupata ushindi kwenye uwanja wetu wenyewe, ukilinganisha na timu pinzani...Hili nalo neno.
Hahahaha nakubali mkuu, mechi dhidi ya As Vita asubuhi ya saa 12 kwenda saa 1 kuna pick up iliingiza nguruwe na ng'ombe mle ndani.mengi yatasemwa.. lakini bado nasema huo uwanja haufai kwa sasa una gungu/nuksi/mikosi katika mechi za mashindano za kimtaifa
kuna timu imeuharibu huo uwanja kwa mambo yao ya hovyo
hao sasa ndio waliouharibu uwanja na kuutia mkosi, wanatakiwa waende wakatengue mambo yao pale... la sivyo hakuna ushindi kwenye huo uwanja kwa mechi zijazo za kimataifa za kiushindaniHahahaha nakubali mkuu, mechi dhidi ya As Vita asubuhi ya saa 12 kwenda saa 1 kuna pick up iliingiza nguruwe na ng'ombe mle ndani.

Fafanua Kiongozimengi yatasemwa.. lakini bado nasema huo uwanja haufai kwa sasa una gungu/nuksi/mikosi katika mechi za mashindano za kimtaifa
kuna timu imeuharibu huo uwanja kwa mambo yao ya hovyo
Kuna timu imepigwa na Ud Songo ,mbona wengine hatujuiTimu imejaa wachezaji waliopigwa na Ud Songo unategemea vp kushinda
hao niiiiiiii mikia FC.mengi yatasemwa.. lakini bado nasema huo uwanja haufai kwa sasa una gungu/nuksi/mikosi katika mechi za mashindano za kimtaifa
kuna timu imeuharibu huo uwanja kwa mambo yao ya hovyo
Kwa mawazo kama haya hivi unategemea soka letu litawahi kupiga hatua?Timu imejaa wachezaji waliopigwa na Ud Songo unategemea vp kushinda
Watu wahivi napiga risasi kudadeki zenu nyiehao niiiiiiii mikia FC.
Iyo timu ina kombe gani la kimataifa..??mengi yatasemwa.. lakini bado nasema huo uwanja haufai kwa sasa una gungu/nuksi/mikosi katika mechi za mashindano za kimtaifa
kuna timu imeuharibu huo uwanja kwa mambo yao ya hovyo
Mkuu unahangaika na kikundi cha kubeti... hujawazoea tu hao?Kwa mawazo kama haya hivi unategemea soka letu litawahi kupiga hatua?
.
Wadau mnaona
Goite Joo Wane troublemaker Ahyan Aleyn Che mittoga na Frank Wanjiru
.
Mwingine huyu hapa eti hawa nao ni mashabiki wa timu ya taifa
Watu wahivi napiga risasi kudadeki zenu nyie
Ni nani mshambuliaji ambae hakuitwa.. AIYEE + BOCCO wagonjwa.Kocha huyu hafai.. kwani hakuona hakuna strika kwenye list yake..
Watu wamesema mapema kabisa.. kaweka pamba masikioni