Mapungufu niliyoyaona mechi ya jana Tanzania VS Sudan

wasudan ni warefu lakini cross nyingi zilikuwa zinapigwa mipira ya juu tatizo jingine ni timu yetu kushindwa kupiga mashuti ya maana wanapokuwa karibu na goli au kupiga mashuti sehemu ambayo hawastahili kama mashuti aliyokuwa anapiga kelvin yondan, Boniface naganga alikuwa na tatizo la kuchelewa kufanya maamuzi wachezaji wanacheza utafikili wana bifu fulani mtu yuko kwenye nafasi nzuri ya kupewa mpira hapewi badala yake mpira unapotezwa bila sababu ya msingi
 
Taifa stars kichwa cha mwendawazimu nisha kizoea,

Siku zingine kipo sawa na siku zingine ndo kabisa hakisomeki kinaokota makopo.

Matokeo katili sana ya jana dah ndo mpira huo lakin wapambane rounde ya 2 ili tuwatoe ata kwa penalty.
 
Mkuu unahangaika na kikundi cha kubeti... hujawazoea tu hao?
Dah boss kuna mtu nilidhani anajitambu kumbe chenga kabisa yani hana hata za kufikiri alafu ni member mpya isitoshe kala ban hii ni akaunti yake mpya anaitafuta nyingine kwa nguvu
.
Ahyan
 
Kwa hiyo unataka kusemaje kitaalam?
mechi karibu 6, hadi sasa zimechezwa pale lakini hakuna hata moja iliyotoka na ushindi ndani ya dakika 90... timu zetu si mbovu kiasi hicho, hadi kushindwa kupata ushindi kwenye uwanja wetu wenyewe, ukilinganisha na timu pinzani...
 
Mimi ni Yanga na inajulikana cross za Gadiel hazina macho siku zote. Anafaa kuwa kuwa traditional left back sio attacking wing back.
 
Mi nadhani Kelvin Yondani alikasirika sana baada ya kuona kule mbele mipira inakwenda sana lakini wamalizaji wamezubaa tuu. Ndio maana kwa hasira akajaribu yeye mwenye kupiga mashuti ya mbali. Ingawa baadaye nadhani hasira zilipungua akarudi kwenye kucheza kitimu zaidi. Na kwa kweli ilikuwa inakera sana mipira mingi inafika mbele kabisa golini lakini kuna vijamaa vitatu hivi pale mbele vipo vipo tu hata kutuliza mpira haviwezi kabisa. Badala ya kufunga vinaokoa kama cross mbili hvi.
MECHI YA JANA ILIKUWA NI YA TAIFA STAAZ ILA KWA KWELI WASHAMBULIAJI WALITUANGUSHA KABISA. NASHANGAA KWA NINI KOCHA HAKUALIONA HILO MAPEMA NA KUWAPA NAFASI WENGINI AMBAO WANGEWEZA KUBADILISHA MCHEZO PALE MBELE.
 
ACHA KUPOTOSHA WEWE SASA KATIKA MAZINGIRA KAMA YALE ULITAKA KASEJA AFANYE NINI?
We kazi yake huijui?
.
Kash kash alizokuwa anakutana nazo Golikipa wa Sudan angezipata Kaseja ina maana angekula saba sasa.
Yani mtu kazi yake ni kuokoa mipira isiingie kwenye nyavu alafu unauliza angefanya nini looooh!
 
We kazi yake huijui?
.
Kash kash alizokuwa anakutana nazo Golikipa wa Sudan angezipata Kaseja ina maana angekula saba sasa.
Yani mtu kazi yake ni kuokoa mipira isiingie kwenye nyavu alafu unauliza angefanya nini looooh!
Kijana usipoteze muda wako kwa ku-assume mambo. Hayo mambo ya angekuwa yeye..... ni sawa na kujaza takataka kichwani mwako. Deal na mambo yaliyotokea uwanjani na yajayo!
 
Kijana usipoteze muda wako kwa ku-assume mambo. Hayo mambo ya angekuwa yeye..... ni sawa na kujaza takataka kichwani mwako. Deal na mambo yaliyotokea uwanjani na yajayo!
Mimi naujua mpira usidhani ni tumbotumbo mimi.
.
Jukumu namba moja la Golikipa ni kuuzuia mpira usiguse nyavu zake na jukumu la walinzi wa mwisho ni kuzuia mipira isimfikie golikipa wao.
.
Sudan haina beki ya kutisha kabisa inapitika kirahisi ila wana golikipa mzuri sana aliziba madhaifu ya walinzi wake, Kaseja alifeli kubali hilo yani alifeli sanaaa lawama zinawahusu washambuliaji na Kaseja pumbavu zao
 

Huyo Salim Ayee mwenyewe kati ya goli 16 alizofunga msimu uliopita, unaambiwa goli 14 alipokea msaada (assist) kutoka kwa mchezaji mwenzake Ditram Nchimbi! Striker aliyekuwepo kwa mkopo akitokea Azam. Huyu ana sifa zote za kuchezea timu ya Taifa iwapo atapata nafasi!

Ni mchezaji mwenye kasi na nguvu nyingi uwanjani, lakini hana bahati ya kuonekana! Mfano mzuri ni kwenye mechi ya kirafiki msimu huu kati ya Yanga na Polisi Tanzania ambako anacheza tena kwa mkopo. Alifunga goli la pili kwa umaridadi mkubwa!
 
Hivi nchi yenye watu zaidi ya milioni 50, kweli tumekosa namba 9 mmoja mwenye uwezo wa kuifungia timu yetu magoli?
 
Hata waliocheza jana sio wabaya..
Akina FEI watagusa kule Sudan
Hakuna timu imejaa usimba na Azam tupigwe tu tangu matola awe pale anaita madogo wote aliokuwa nao lipuli na Simba kocha wenu nae kijana wake chilunda anaruka ruka tu ple mbele!
 
Ah..huyo kocha humwambii kitu kwa wachezaji wake wa Azam!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…