joshydama
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,623
- 5,039
Umepotea njia...Miss Natafuta!AHAHAA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepotea njia...Miss Natafuta!AHAHAA
Hivi Mkuu hakuna uwezekano wa kupata rufaa?Lawyer angeweza ku-afford kwa sababu alikua na network nzuri tu, nafikiri aliamua kujitetea mwenyewe
umesahau na wala yesu hakulimbikiza mali kama wachungaji wa leo!!Kitu kingine ulichosahau ni kuwa Yesu alikuwa maskini hivyo hakuweza ku-afford a good lawyer, kama ambavyo inatokea kwenye jamii zetu mpaka leo.
jesus is a prophet.our god cant die!Jesus is God. That is why the pharisees said He blasphemy when He compared Himself to God.
ww kweli hamnazo wale hakua akiwalipa msharaha!walijitoa bure!kama unazo dalili za wale wafuasi kulipwa mishahara zilete itatusaidia!It is a lie.
Jesus was not poor. He had 12 people working for Him. Nonetheless, He had a personal accountant. You don't have that.
Can a poor man be able to employ 12 people who were business men and an accountant?
yesu mwenyewe alimtabiria mtume muhammad?pale akiwaeleza wanafunzi wake wasubiri atakuja roho mtakatifu!sasa mtume ndo roho takatifu isio na shaka kabisa.Hakuna sheria hapo mmekosa kazi nyie.
Mnashindwa kumshtaki Muhammad ambae amevunja sheria nyingi na Ame abuse haki za watoto mnakimbilia kwa Yesu Kristo. Mnaakili kweli?
Kama ni mpango Wa mungu kufa.Hakukuwa wa njia nyingine ya kuukomboa ulimwengu bali mwana wa Daudi afe msalabani. Yesu alijua kikombe kilicho mbele yake; aliingua Yerusalem akijua fika anakwenda kuuawa na siku ya tatu atakufuma kama ilivyotabiliwa kwenye vitabu vya manabii.
Dakika za mwisho za mateso Yesu alimwomba Mwenyezi Mungu amuepushe kikombe cha mauti kilichokuwa mbele yake.
Kulikiwa hamna namna bali mwana wa Adamu afe ili mwanadamu apate wokovu.
hapo ulipoandika yesu aliomba aondolewe kikombe cha kifo basi pale pale mungu alimuondolea akawekwa mtu aliefanana nae!Hakukuwa wa njia nyingine ya kuukomboa ulimwengu bali mwana wa Daudi afe msalabani. Yesu alijua kikombe kilicho mbele yake; aliingua Yerusalem akijua fika anakwenda kuuawa na siku ya tatu atakufuma kama ilivyotabiliwa kwenye vitabu vya manabii.
Dakika za mwisho za mateso Yesu alimwomba Mwenyezi Mungu amuepushe kikombe cha mauti kilichokuwa mbele yake.
Kulikiwa hamna namna bali mwana wa Adamu afe ili mwanadamu apate wokovu.
Kuna jambo la kujifunza hapa!Kijana, kama vitu ambavyo vipo wazi kwenye Biblia huvielewi, unafikiri utaweza jadiliana nami kuhusu Yesu. Nenda kasoma Biblia ambayo haipo Kiarabu. Ukisha maliza kusoma angalu Gospel yake, njoo tujadiliane hapa.
Yesu Kristo ni Mungu Mkuu
I need to apply an intensive reading!His Father's business. Luke 2: 49 And He said unto them, How is it that ye sought me? wist ye not that I must be about my Father's business?
According to yur version mkuu.hapo ulipoandika yesu aliomba aondolewe kikombe cha kifo basi pale pale mungu alimuondolea akawekwa mtu aliefanana nae!
sasa kwa uelewa wako kirahisi tu mtu kuomba jambo aondolewe ww unaelewa vp?According to yur version mkuu.
Kama hujui wote waliotumika kwenye zoezi zima walipata msamaha. Msamaha alioutoa pale msalabani ulikuwa kwa wanadamu wote. "Eee baba uwasamehe kwani hawajui waliyendalo...."Kama ni mpango Wa mungu kufa.
YESU ASINGEMLAANI YUDA ESKALIOTI