kakq umesema kweli ila watu watajifanya kubisha!!! jay dee hataki na wenzake wapate yeye alichopata!! angesema mwanzo ningemwelewa ila kwa leo hii hapana!
yeye anamuita mwenzake mwanafatuma cku na yeye akiitwa mgumba makengeza asinune!!
You're not even an inch differemt from her bro.. same shit..
I'm a world of difference from her because:-
(1) I'm not a struggling musician.
(2) I'm not a confused, frustrated, disgruntled, and paranoid individual like she is.
(3) I'm a dude and she is a dudette.
(4) I'm a blue-collar mbeba box while she's a rinky-dink bongofleva artist/ businessperson.
(5) I'm me and she's her.
Miafrika ndivyo tulivyo, good at judging and blaming but never take trouble to rectify the whole thing.... too judgemental while leaving aside our flaws...
She has an arrogant and false sense of entitlement. Even worse, she thinks she is the shit when she ain't.
Her music is shitty and her attitude is woeful. She needs an attitude adjustment.
Join Date 11th June 2013 Last Activity Today 02:02 Avatar
that's Freeideas profile...shame on you claudiz efuem!!!
Hayo mengine sina uhakika
nayo, ila hapo namba nne kusema kwamba hana mahusiano mazuri na wasanii
sidhani kama unamtendea haki, kwa sababu huyu dada kashirikishwa nyimbo
nyingi sana na wasanii tofauti tofauti angekuwa hana mahusiano mazuri na
hao wasanii sidhani kama wangekuwa wanamshirikisha kwenye nyimbo zao.
nitaje tu chache ninazokumbuka.
-Bongo Dar es salaam ameshirikishwa na Prof J.
-Kuna wimbo mwingine kashirikishwa na sugu siukumbuki jina.
-Anita ameshirikishwa na Matonya.
-Hawajui ameshirikishwa na Fa
-Alikufa kwa ngoma ameshirikishwa na Fa
-Mambo bado ameshirikishwa na Chege.
-Understanding ameshirikisha TID.
-Single boy ameshirikishwa na Alikiba.
-Msiache Kuongea ameshirikishwa na Fa
-Kupakazia sijui wanok nok ameshirkishwa na Mandojo na Domokaya.
-Sifai ameimba na AY na TID
-Mawazo ameshirikiana na AY.
-MAchoni kama watu ameshirikiana na AY.
-Sikiliza ameshirikiana na Ngwair na Fa
-Ng'ombe ameimba na Bob Junior.
-Wangu ameimba na Mr Blue
kwa uchache nakumbukuka hizo kwa wasanii wa ndani, na kwa wasanii wa nje
nakumbuka kaimba na mina nawe, Oliver Mtukuzi, Kidum, Chamelion, Ngoni
tribe, yule dada wa Uganda sijui anaitwa nani.
Wote hao angekuwa hana uhusiano mzuri angeweza kushirikiana nao
kweli?
Nakumbuka pia mwaka 2009,niliwahi kuwa karibu na rafiki yako ambaye anakufahamu vizur,moja ya mambo ambayo alikusifia ni kwamba una bidii katika utafutaji na unajitahidi pia kupangilia mambo yako.
Mapungufu yako alosema ni kwamba unajiamini kupita kiasi na nimgumu kupokea ushauri,pia unadharau japo huwa unajitahidi kuificha,
Ngoja nikuulize,hivi wewe unadhani unaheshima kuliko prof jay na akina juma nature katika muziki?? Levo yenu ni moja lakini huwezi kuta pro jay kajiingiza kwenye vitu vya kipuuzi kama hivo.we unadhani prof jay anajickiaje kuona watoto wa juzi akina stamina,roma,young killer,izzo na wengine wanapewa sapoti kubwa na media na tuzo kibao??.
Kama prof jay,matonya,mr nice,O-ten,daz baba n.k wakiamua kuingia facebook ama pengine na kuanza kuandika vitu vya ajabu unadhani ingekuwaje!,ama unadhani wewe unauchungu na sapoti kuliko wengine??,
Muulize juma nature anafanya shoo ngapi kwa mwezi kama sio moja!,
Usilazimishe watu wote wafuate mawazo yako,na redio sio moja,mbona rama dee kapata tuzo na nyimbo zake hazipigwi kwa Ruge
Nilianza kukushangaa tangu ulipoonesha jeneza lako ukifa kwenye facebook,nikajua dada yangu kaanza kupotea.,kama nimekosea nisamehe maana mi sio mwanamuziki
Kwanza nakupongeza sana mdada kwa kufanya bidii katika muziki na kimaendeleo pia.mimi siko Tanzania kwa muda sasa lakini nafuatilia kwa karibu sana kila kinachotokea huko.Majuzi uliposti katika tweeter na kumwita mwana Fa mwanafatuma.Binafsi skufurahi kwa kuwa sioni sababu hasa ya wewe kumwita Mwana Fa mwanafatuma.Sababu hasa inayo sababisha wewe kumwita hivo ni kwamba unahisi kuwa karubuniwa na CLOUDS FM kukuhujumu kwa kuweka shoo yake siku na tarehe ambayo wewe pia ulikuwa na shoo.Lakini umesahau kuwa msanii hupangiwa shoo na promota lakini pia hutegemea ujira wake kutokana na shoo anazofanya.Ingewezekana vipi MWANA FA kukataa kufanya shoo tarehe 31,kisa wewe unafanya shoo???,kwani we ni nani hapa tz ampaka watu waahirishe mambo yao na kuweka atention kwako????.
Umesahau kuwa hata hayo maendeleo ulonayo umetoka huko ambako mwana fa anapigania kutoka ili miaka ijayo hata yeye awe na mgahawa wake kama wewe???,hakuna siku ambayo wewe umefanya shooo huku msanii mwingine nae anafanya sho mahala pengine??? Hata kama Ruge alihusika kupanga jabo hilo, mwana Fa inamhusu nini ugomvi wenu wewe na Ruge?? mpaka aahirishe kufanya shoo.?Kwa nini unalazimisha mawazo yako yafanane na ya watu wote??????,ugomvi wenu na Ruge usababishe kila kitu kismame??,kumbuka wewe sio mtu muhimu sana hapa tanzania japo una heshima kubwa sana katika muziki wetu.
Yafuatayo ni mapungufu yako jaydee.
1.Unadhani kwamba wewe ni mtu muhimu sana hapa tanzania kuliko wasanii wengine
2.Unaponzwa na kujiamini kusiko kuwa na tija na kudhani kuwa uko sahihi kwa kila unalolifanya
3.Umebweteka na sifa unazopewa na mashabiki katika mitandao ya kijamii na pengine
4 huna mahusiano mazuri na wasanii wenzako maana hata misibani umeanza kuonekana majuzi baada ya kushtukiwa kuwa huwa huendi
5.unashindwa kuamini kuwa sasa wakati wako umeisha na inabidi uwaachie akina recho na mwasiti kijiti
6.Umesahau kuwa na wewe pia ulitoka huko huko kwa Ruge na pia kama ni kuamrishwa ulikuwa unaamrishwa kama akina Fa
USHAURI-
1.Acha kujiona upo sahihi kwa kila jambo.
2.Shirikiana na wenzako katika kila hali sio kujitenga na kuwalaumu kuwa wanakusaliti kumbe wewe una umimi mimi tango kitambo.
3.Usilewe sifa za mashabiki ambao watakuponda baada ya muda ukisha poteza mwelekeo.
4.Nakushauri mwombe msamaha Mwana Fa haraka utavoweza.
wanajamii mnaruhusiwa kuchangia lolote katika hili....,
kama imekutach free idea KAJINYONGE ..USIINGILIE YASIOKUHUSU,YAKO UMEYAKALIA YA WENGINE UNAYATOLEA POVU...USHAMBA UMEKUZIDI
mtoa mada umetumwa na rugay afu mbna umesema haupo tz na mada yako inaonyesha upo tz