Nakumbuka pia mwaka 2009,niliwahi kuwa karibu na rafiki yako ambaye anakufahamu vizur,moja ya mambo ambayo alikusifia ni kwamba una bidii katika utafutaji na unajitahidi pia kupangilia mambo yako.
Mapungufu yako alosema ni kwamba unajiamini kupita kiasi na nimgumu kupokea ushauri,pia unadharau japo huwa unajitahidi kuificha,
Ngoja nikuulize,hivi wewe unadhani unaheshima kuliko prof jay na akina juma nature katika muziki?? Levo yenu ni moja lakini huwezi kuta pro jay kajiingiza kwenye vitu vya kipuuzi kama hivo.we unadhani prof jay anajickiaje kuona watoto wa juzi akina stamina,roma,young killer,izzo na wengine wanapewa sapoti kubwa na media na tuzo kibao??.
Kama prof jay,matonya,mr nice,O-ten,daz baba n.k wakiamua kuingia facebook ama pengine na kuanza kuandika vitu vya ajabu unadhani ingekuwaje!,ama unadhani wewe unauchungu na sapoti kuliko wengine??,
Muulize juma nature anafanya shoo ngapi kwa mwezi kama sio moja!,
Usilazimishe watu wote wafuate mawazo yako,na redio sio moja,mbona rama dee kapata tuzo na nyimbo zake hazipigwi kwa Ruge
Nilianza kukushangaa tangu ulipoonesha jeneza lako ukifa kwenye facebook,nikajua dada yangu kaanza kupotea.,kama nimekosea nisamehe maana mi sio mwanamuziki