Mapungufu ya Lady Jaydee na kosa la kumwita Mwana FA kuwa MwanaFatuma

Mapungufu ya Lady Jaydee na kosa la kumwita Mwana FA kuwa MwanaFatuma

Itikadi yangu nipo pamoja na Mtu yoyote ambae anaonesha kuonewa!! Ruge anamtumia FA na hii sio Mara moja, jibwana hilo hutanua roho lake baya kwa vijana wengi ambao wanamsujudia, kwa Mara nyingine amemtumia huyu mtoto wa tanga kwa jide mbali na kina sugu!! Pambana JIDE raia tupo nyuma yako ningekua najua kunuti ningemsomea huyu mamba anaesumbua wasanii wetu!!
 
kakq umesema kweli ila watu watajifanya kubisha!!! jay dee hataki na wenzake wapate yeye alichopata!! angesema mwanzo ningemwelewa ila kwa leo hii hapana!
yeye anamuita mwenzake mwanafatuma cku na yeye akiitwa mgumba makengeza asinune!!

Wewe umezaa??,angalia sana maneno yatakurududia,hat kama umezaa watoto wako wanakufa na usipate tena,so kuwa muangalifu,mungu adhihakiwi dada
 
You're not even an inch differemt from her bro.. same shit..

I'm a world of difference from her because:-

(1) I'm not a struggling musician.

(2) I'm not a confused, frustrated, disgruntled, and paranoid individual like she is.

(3) I'm a dude and she is a dudette.

(4) I'm a blue-collar mbeba box while she's a rinky-dink bongofleva artist/ businessperson.

(5) I'm me and she's her.
 
I'm a world of difference from her because:-

(1) I'm not a struggling musician.

(2) I'm not a confused, frustrated, disgruntled, and paranoid individual like she is.

(3) I'm a dude and she is a dudette.

(4) I'm a blue-collar mbeba box while she's a rinky-dink bongofleva artist/ businessperson.

(5) I'm me and she's her.

Miafrika ndivyo tulivyo, good at judging and blaming but never take trouble to rectify the whole thing.... too judgemental while leaving aside our flaws...
 
Miafrika ndivyo tulivyo, good at judging and blaming but never take trouble to rectify the whole thing.... too judgemental while leaving aside our flaws...

Guess what pal? You are doing the same damn thing too.
 
Nashukuru sana kwa waliouelewa huu uzi wangu nilioweka hapa.sina nia mbaya wala ugomvi na jide,maana mimi ni mpenzi pia wa baadhi ya nyimbo zake,lakini si sapoti baadhi ya mambo ya anayofanya eti kwa kuwa napenda muziki wake.
Nitakuwa mnafiki kama nitaendelea kumvimbisha kichwa kama wengine humu na kumpa sifa za kijinga huku nikiona anapotea taratibu.Siku zote huwa naamini katika haya kwa wasanii.
1.kutengeneza bifu na wenzako ni mwanzo wa kuwagawa mashabiki wako,maana inawezekana unayefanya nae bifu kuna baadhi ya mashabiki wako pia wanpenda muziki wake.
2.Unapunguza idadi ya mashabiki wako
3.Epuka sana kuonesha hisia kuwa unatofautina na msanii mwenzako
4.Kwa wasanii wengi wa kiafrika ama niseme kibongo bifu huwa ni dalili za kuisha kimuziki.nitakupa mifano hai
#1 .wapi dududaya na mr.nice??
#2 .wapi rado
#3 .wapi Oten
#4 .wapi daz baba na daz nundaz
#5 .wapi Wanaume halisi n family
#6 .wappi joseln,mr blue n.
Hii ni baadhi ya mifano ambayo nakumbuka wengine mtaongezea.NARUDIA TENA KUKUKUMBUSHA KUWA WEWE SIO MUHIMU KULIKO WENGINE.
 
She has an arrogant and false sense of entitlement. Even worse, she thinks she is the shit when she ain't.

Her music is shitty and her attitude is woeful. She needs an attitude adjustment.

U nailed it my brother! Attitude 'F'...
 
Mambo ya fedha kashirikishwa na mh sugu....mwanaFaTuMa atarudi nyuma tu...actually jide kasaidia mwanaFatuma kuwepo alipo...shadow nyingi sana kuizitendea haki colabo zake...team anaconda
 
Hayo mengine sina uhakika
nayo, ila hapo namba nne kusema kwamba hana mahusiano mazuri na wasanii
sidhani kama unamtendea haki, kwa sababu huyu dada kashirikishwa nyimbo
nyingi sana na wasanii tofauti tofauti angekuwa hana mahusiano mazuri na
hao wasanii sidhani kama wangekuwa wanamshirikisha kwenye nyimbo zao.
nitaje tu chache ninazokumbuka.

-Bongo Dar es salaam ameshirikishwa na Prof J.
-Kuna wimbo mwingine kashirikishwa na sugu siukumbuki jina.
-Anita ameshirikishwa na Matonya.
-Hawajui ameshirikishwa na Fa
-Alikufa kwa ngoma ameshirikishwa na Fa
-Mambo bado ameshirikishwa na Chege.
-Understanding ameshirikisha TID.
-Single boy ameshirikishwa na Alikiba.
-Msiache Kuongea ameshirikishwa na Fa
-Kupakazia sijui wanok nok ameshirkishwa na Mandojo na Domokaya.
-Sifai ameimba na AY na TID
-Mawazo ameshirikiana na AY.
-MAchoni kama watu ameshirikiana na AY.
-Sikiliza ameshirikiana na Ngwair na Fa
-Ng'ombe ameimba na Bob Junior.
-Wangu ameimba na Mr Blue

kwa uchache nakumbukuka hizo kwa wasanii wa ndani, na kwa wasanii wa nje
nakumbuka kaimba na mina nawe, Oliver Mtukuzi, Kidum, Chamelion, Ngoni
tribe, yule dada wa Uganda sijui anaitwa nani.

Wote hao angekuwa hana uhusiano mzuri angeweza kushirikiana nao
kweli?

masuke bora useme ww....huyu free sijui idea ni mang'aaa tuu anaongea ka anapandisha milima ya kwao hajielew....
 
Nakumbuka pia mwaka 2009,niliwahi kuwa karibu na rafiki yako ambaye anakufahamu vizur,moja ya mambo ambayo alikusifia ni kwamba una bidii katika utafutaji na unajitahidi pia kupangilia mambo yako.
Mapungufu yako alosema ni kwamba unajiamini kupita kiasi na nimgumu kupokea ushauri,pia unadharau japo huwa unajitahidi kuificha,
Ngoja nikuulize,hivi wewe unadhani unaheshima kuliko prof jay na akina juma nature katika muziki?? Levo yenu ni moja lakini huwezi kuta pro jay kajiingiza kwenye vitu vya kipuuzi kama hivo.we unadhani prof jay anajickiaje kuona watoto wa juzi akina stamina,roma,young killer,izzo na wengine wanapewa sapoti kubwa na media na tuzo kibao??.
Kama prof jay,matonya,mr nice,O-ten,daz baba n.k wakiamua kuingia facebook ama pengine na kuanza kuandika vitu vya ajabu unadhani ingekuwaje!,ama unadhani wewe unauchungu na sapoti kuliko wengine??,
Muulize juma nature anafanya shoo ngapi kwa mwezi kama sio moja!,
Usilazimishe watu wote wafuate mawazo yako,na redio sio moja,mbona rama dee kapata tuzo na nyimbo zake hazipigwi kwa Ruge
Nilianza kukushangaa tangu ulipoonesha jeneza lako ukifa kwenye facebook,nikajua dada yangu kaanza kupotea.,kama nimekosea nisamehe maana mi sio mwanamuziki

Hii ina harufu ya ki propaganda! Fanyeni kazi acheni umburura!
 
jide ndo kila kitu anayesema eti anapitwa na wakati eti awaachie akina nani sijui khaa hao wanahonga dudu zao ili watoke! Jide ni international bana si uchwara. Huyo Rugay na mapunga wengine pale radio wafu fm ingekuwa kiwanja piga bomba tu, hawana adabu kabisa.
 
Kwanza nakupongeza sana mdada kwa kufanya bidii katika muziki na kimaendeleo pia.mimi siko Tanzania kwa muda sasa lakini nafuatilia kwa karibu sana kila kinachotokea huko.Majuzi uliposti katika tweeter na kumwita mwana Fa mwanafatuma.Binafsi skufurahi kwa kuwa sioni sababu hasa ya wewe kumwita Mwana Fa mwanafatuma.Sababu hasa inayo sababisha wewe kumwita hivo ni kwamba unahisi kuwa karubuniwa na CLOUDS FM kukuhujumu kwa kuweka shoo yake siku na tarehe ambayo wewe pia ulikuwa na shoo.Lakini umesahau kuwa msanii hupangiwa shoo na promota lakini pia hutegemea ujira wake kutokana na shoo anazofanya.Ingewezekana vipi MWANA FA kukataa kufanya shoo tarehe 31,kisa wewe unafanya shoo???,kwani we ni nani hapa tz ampaka watu waahirishe mambo yao na kuweka atention kwako????.

Umesahau kuwa hata hayo maendeleo ulonayo umetoka huko ambako mwana fa anapigania kutoka ili miaka ijayo hata yeye awe na mgahawa wake kama wewe???,hakuna siku ambayo wewe umefanya shooo huku msanii mwingine nae anafanya sho mahala pengine??? Hata kama Ruge alihusika kupanga jabo hilo, mwana Fa inamhusu nini ugomvi wenu wewe na Ruge?? mpaka aahirishe kufanya shoo.?Kwa nini unalazimisha mawazo yako yafanane na ya watu wote??????,ugomvi wenu na Ruge usababishe kila kitu kismame??,kumbuka wewe sio mtu muhimu sana hapa tanzania japo una heshima kubwa sana katika muziki wetu.

Yafuatayo ni mapungufu yako jaydee.
1.Unadhani kwamba wewe ni mtu muhimu sana hapa tanzania kuliko wasanii wengine
2.Unaponzwa na kujiamini kusiko kuwa na tija na kudhani kuwa uko sahihi kwa kila unalolifanya
3.Umebweteka na sifa unazopewa na mashabiki katika mitandao ya kijamii na pengine
4 huna mahusiano mazuri na wasanii wenzako maana hata misibani umeanza kuonekana majuzi baada ya kushtukiwa kuwa huwa huendi
5.unashindwa kuamini kuwa sasa wakati wako umeisha na inabidi uwaachie akina recho na mwasiti kijiti
6.Umesahau kuwa na wewe pia ulitoka huko huko kwa Ruge na pia kama ni kuamrishwa ulikuwa unaamrishwa kama akina Fa

USHAURI-
1.Acha kujiona upo sahihi kwa kila jambo.
2.Shirikiana na wenzako katika kila hali sio kujitenga na kuwalaumu kuwa wanakusaliti kumbe wewe una umimi mimi tango kitambo.

3.Usilewe sifa za mashabiki ambao watakuponda baada ya muda ukisha poteza mwelekeo.
4.Nakushauri mwombe msamaha Mwana Fa haraka utavoweza.

wanajamii mnaruhusiwa kuchangia lolote katika hili....,

niliandika hivi jana mods wakafuta...


Ya Jay Dee na MwanaFA.........
Anachokifanya Jay Dee ni kudhalilisha wanawake!!
***************
Muda sasa umepita toka utoke ule unaoitwa Waraka Wa Jay Dee dhidi ya Clouds. Nilisikia pia ufafanuzi wa Ruge dhidi ya tuhuma zilizoelekezwa, na hivi majuzi nimebahatika kusikia ama kusoma kile kinachoendelea baina ya Jay Dee na MwanaFa...

Sikutaka kuandika chochote, ila hili la Juzi ambalo limeshabikiwa na wengi kwa Mwana FA kuitwa MwanaFatuma limenifanya niandike kitu. Wengi wameshangilia inawezekana kwa kufuata mkumbo ama kutojua tafsiri hasa ya MwanaFA kuitwa Fatuma.

Mengi yamesemwa katika kuhalalisha ufatuma wa MwanaFa, na akaenda mbali kudai yeye ndiye alimfanyia FA chorus na alikuwa hawezi panda Fiesta bila yeye. Inawezekana ni kweli, ila lazima tujue kuwa mtu anayekaa na kuongelea kila wakati mambo yaliyopita, kuna uhakika kuwa hana lolote jipya la kufanya. Sitaki kuamini kama FA kafika alipofika kwa ajiri ya "Alikufa kwa ngoma", "msiache kuongea" na "Hawajui". Kama ni hivyo, basi Jay Dee kwanini asiukubali mchango wa FA wakati alipoimba Wanaume kama Mabinti?

Nikirudi kwenye huu unaoitwa Ufatuma wa MwanaFA nakuona kukengeuka kwa hali ya juu kwa huyu dada yetu. Kama alivyofanya kwenye "Wanaume kama Mabinti", anachokifanya hapa ni kuchukua kunakoitwa kutumika kwa FA na kuwahalalishia wanawake. Tuseme FA anafanya upuuzi pengine kama anavyodhani, lakini kwanini huu upuuzi tuwaamishie akina Fatuma? Je wanawake ni halali yao kukwamishana, kuwekeana fitina na kutumika? Anataka kutuambia anachokifanya FA kingekuwa halali endapo angefanya Linah, Recho ama Stara Thomas?

Mpaka sasa sijaona hoja ya msingi ambayo Jide ameisimamia zaidi ya kutafuta public sympathy. Haina maana ya kuendelea kulumbana tena kwa kejeli ambazo mwisho wa siku zinamshushia heshima na kuonesha jinsi alivyo upstair!!!

Kikubwa afanye kazi, hakuna namna ya kukwepa ushindani, ndiyo maana hata ukienda bar leo utakuta friji ya Pepsi na ya Coca cola ikiwa pembeni, na bado maisha yanaendelea.
 
kama imekutach free idea KAJINYONGE ..USIINGILIE YASIOKUHUSU,YAKO UMEYAKALIA YA WENGINE UNAYATOLEA POVU...USHAMBA UMEKUZIDI

Hapana dadangu,haoa tunatoa maoni na mawazo tu so usichukie n mtazamo wangu tu,kunywa maji kisha pumua kwa nguvu kama nimekugusa,lakini asante kwa kusoma uzi
 
Kwanza huyo Fatuma mbona hata sura yae imekaa kifatumafatuma mi nadhani Anakonda hajakosea kumwita hivyo. Tabia za kununuliwa hazifai kabisa
 
Back
Top Bottom