johnsenior
Member
- Sep 11, 2014
- 83
- 20
Hii video wengi wetu tulikuwa tunaisubiri kwa hamu sana , hasa pale tulipopata habari ali-kiba na yeye kaenda kushoot video kwa hawa jamaa god-father wa south africa wanaotoa video kwa kiwango cha juu, ile imetoka tu jana nikaingia youtube kuicheki, DAH!!! kiukweli video imemalizika nikawa najiuliza mbona ujumbe wa audio na kinachooneshwa kwenye video haviendani!
Nlitegemea kuona mengi kama kumwona huyo mwana dsm alivyoharibikiwa na jiji, lakini hadi video inaisha ni ally kiba kavaa headphone kubwa anatembea na kucheza tu,
Nani alaumiwe hapa management, ally kiba au god father ni heri tu angeshot huku huku bongo kwa nisher
hahaha mashabiki bhana mlimwambia naye ashoot south kama Diamond sasa mnamgeuzia kibao.Wa kulaumiwa ni mashabiki
Hahaha! tena wakamwambia na yeye acheze kama daimond... leo wanamkataa
Mbona sikuelewi ndugu,Mimi nimeongelea mapungufu niliyoyaona.nimetumwa na nani tena
Haters gonna hate month!pop it in!!