Mapungufu yaliyopo kwenye video ya Ally kiba (Mwana Dsm)

Mapungufu yaliyopo kwenye video ya Ally kiba (Mwana Dsm)

kulaumiwa ni msanii na management yake kumbuka godfather hajui.kiswahili kwahvo alitegemea script ya msanii imuongoze na yy aongezee vitu baadh bt kupanic na kutaka sifa kaharibu
 
Mara ya kwanza naona teaser ya video hii ya Ali Kiba basi nilijua n mojawapo ya video bora na.nzuri itakayokuja kuwa gumzo hapa Tanzania na hata nje ya mipaka ta Tanzania. Lakini baada ya kuwa released nikagundua matarajio yangu hayakutimia. Kiukweli Godfather huwa wanatengeneza video nzuri tu lakini katika hii ya Ali Kiba walikosea kumuandalia Script ya video story. Sijaona kama kuna kitu kipya na ubunifu mpya katika hii video. Hata dancers wakiw na Ali K walikazana kucheza style moja tu, seems hawakujiandaa kabisa kwa ajili ya kudance kwenye video.

BUT Ali Kiba kajitahidi sana katika kuvaa vizuri sana. Na kapendeza sana sana.
Mtazamo tu ndg zangu.
 
Hii video wengi wetu tulikuwa tunaisubiri kwa hamu sana , hasa pale tulipopata habari ali-kiba na yeye kaenda kushoot video kwa hawa jamaa god-father wa south africa wanaotoa video kwa kiwango cha juu, ile imetoka tu jana nikaingia youtube kuicheki, DAH!!! kiukweli video imemalizika nikawa najiuliza mbona ujumbe wa audio na kinachooneshwa kwenye video haviendani!

Nlitegemea kuona mengi kama kumwona huyo mwana dsm alivyoharibikiwa na jiji, lakini hadi video inaisha ni ally kiba kavaa headphone kubwa anatembea na kucheza tu,

Nani alaumiwe hapa management, ally kiba au god father ni heri tu angeshot huku huku bongo kwa nisher

Kulikua na haja ya kuanzisha huu uzi
 
Angalia Video Ya Flavour Na Coal Wande Inaitwa Wake Up Kilichoimbwa Na Video Ni Tofauti Lakin Iweje Useme Ali Kiba Peke Yke M2 Akifanya Vizur Mpen Haki Yke Fitna Weken Pemben
 
hahaha mashabiki bhana mlimwambia naye ashoot south kama Diamond sasa mnamgeuzia kibao.Wa kulaumiwa ni mashabiki
 
Ivi video lazima ifanane na matukio ya audio nahisi tunapenda kukariri acha nikarudie kuicheki video ya CB-Loyal.
 
Alaumiwe mwenyewe kwa kufanya mambo ya kuiga bila kuangalia theme au maudhui ya nyimbo ikoje.ameonesha kutojua anachokifanya,tofauti kabisa na mtu mzima chibu dangote
 
Diamond amefanya mpaka wanamuziki wengine waonekane kama vile hawapo. Hii si sawa
 
Hii video wengi wetu tulikuwa tunaisubiri kwa hamu sana , hasa pale tulipopata habari ali-kiba na yeye kaenda kushoot video kwa hawa jamaa god-father wa south africa wanaotoa video kwa kiwango cha juu, ile imetoka tu jana nikaingia youtube kuicheki, DAH!!! kiukweli video imemalizika nikawa najiuliza mbona ujumbe wa audio na kinachooneshwa kwenye video haviendani!

Nlitegemea kuona mengi kama kumwona huyo mwana dsm alivyoharibikiwa na jiji, lakini hadi video inaisha ni ally kiba kavaa headphone kubwa anatembea na kucheza tu,

Nani alaumiwe hapa management, ally kiba au god father ni heri tu angeshot huku huku bongo kwa nisher

No comment.
 
Back
Top Bottom