Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
hahahahahaaaa eti angetaka mashindano mwana angeonekana kwenye video umenichekeshaje?Ajabu hiyo jamani!Kiba anafanya mziki wake mwenyewe wala hashindani na mtu.Angetaka mashindano nadhani MWANA angeonekana kwenye video yake.
Msanii mwenye jina kubwa hapa bongo ally kibba Jana 19.12.2014 ameachia video iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na wapenzi wake ya Mwana dsm nimeona tujadili mapungufu yake ili aweze kujirekebisha kwenye video zinazofuata.
1.video hii itatamba sana hapa nchini Tz labda na east Africa tu ila itapata shida sana kutamba katika nchi zisizojua kiswahili kwa sababu video ya wimbo haielezei uhalisia wa maudhui wa nyimbo husika.
Kiufupi mtu asiyejua kiswahili hawezi kujua wimbo unazungumzia nini.
Kwa wale ambao hamjanielewa,wewe mtanzania unayejua kiswahili jaribu kuangalia video wakati sound ipo silent kama utaelewa video inazungumzia nini.
Halafu angalia video ya diamond ya NITAMPATA WAPI bila sauti.
Wewe mwenzangu umeona mapungufu gani
Mwana- dar halafu unaenda South wapi wapi si ilitakiwa japo awe anakatiza mitaa ya Dar au ndo kuiga
ki intonation, ndo mambo gan hayo !?Huyu ni Mwanadaresalam mambo ya ki intonation amwachie Diamond.
hizi team hizi zimemfanya kijana wa watu akajikung'uta kama nini.
Msanii mwenye jina kubwa hapa bongo ally kibba Jana 19.12.2014 ameachia video iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na wapenzi wake ya Mwana dsm nimeona tujadili mapungufu yake ili aweze kujirekebisha kwenye video zinazofuata.
1.video hii itatamba sana hapa nchini Tz labda na east Africa tu ila itapata shida sana kutamba katika nchi zisizojua kiswahili kwa sababu video ya wimbo haielezei uhalisia wa maudhui wa nyimbo husika.
Kiufupi mtu asiyejua kiswahili hawezi kujua wimbo unazungumzia nini.
Kwa wale ambao hamjanielewa,wewe mtanzania unayejua kiswahili jaribu kuangalia video wakati sound ipo silent kama utaelewa video inazungumzia nini.
Halafu angalia video ya diamond ya NITAMPATA WAPI bila sauti.
Wewe mwenzangu umeona mapungufu gani
Mkuu tupo pamoja wacheni kwanza kila kitu kitakuwa poa, ni holiday season ni wakati wa bataz mpaka kuku waone gere.
Baada ya christmas tunadondosha thread la kufa mtu likiwa na TBS zote ni total package. Issue yote iko kwa uongozi na haki isipotendeka JF si baba wala mama yangu nitatoa msimamo wangu.
hahahaha kiba nae anajua kukata mauno siku hizi,kweli diamond ni nyoko
Mauno ya kiba yalianza kwenye video ile aliyeshirikishwa na Dada ake diamond!! hukuyaona?
Msanii Kwa wale ambao hamjanielewa,wewe mtanzania unayejua kiswahili jaribu kuangalia video wakati sound ipo silent kama utaelewa video inazungumzia nini.
Halafu angalia video ya diamond ya NITAMPATA WAPI bila sauti.
Wewe mwenzangu umeona mapungufu gani
mkuu nashukuru kwa kusema umeona mapungufu kwa sababu kwa maoni yako ungependa umuone MWANA akiwa katika hali ya kukimbia nyumbani mpaka kupatwa na matatizo!!!
Kimsingi mkuu unaishi kwa mazoea sio kila wimbo lazima video yake ioneshe mfululizo wa hadithi nzima ya kinachoimbwa,kimsingi naomba nkuulize swali mkuu,
kama ww ndo ungekua DIRECTOR wa video ya ROSE MHANDO ya wimbo wake uitwao UTAMU WA YESU ungeiongoza nasi watazamaji tukapata video iliyo na mlolongo upi wa matukio!!!?
Ukinijb ntaamini hauna chuki binafsi
nyie wote mnatumikishwaTusiishi Kwa Kukariri Jaman
Unapozungumzia video ya mwana, unazungumzia the most awaited video of the year, na laiti kama video zote zingechambuliwa hv bas bongo tungetisha kwa video bomba