Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Habari za mchana,
Nina mapungufu mengi nikiwa kwenye mahusihano, moja ni kutojua kufoka yaani nashindwaga kabisa kumfokea mtu niliyenae kwenye mahusihano.
Na kama amenikosea basi nikiaza kumuelekeza kwa upole naamini ndio njia rahisi na nzuri basi anapanda juu na mimi nikiona mtu kapanda juu basi natulia namsikiliza yeye. Now nina history nyingi za watu ambao tumeachana sababu hiyo, mimi huwa sipend kufoka na kupiga.
Yaani kifupi mimi sio mkali, ata akinikosea mimi basi naomba msamaha, nisaidie nifanye nini? I need to change na nahitaji ushauri mzuri na sio matusi wala kejeli.