Mapungufu yangu naona ndio sababu

Mapungufu yangu naona ndio sababu

Wanawake wanapenda mwanaume Gentle na mwenye misimamo, sasa unakosewa wewe halafu unaomba msamaha wewe mwenyewe tena.
Wanakuona boya tu.
 
Habari za mchana,

Nina mapungufu mengi nikiwa kwenye mahusihano, moja ni kutojua kufoka yaani nashindwaga kabisa kumfokea mtu niliyenae kwenye mahusihano.

Na kama amenikosea basi nikiaza kumuelekeza kwa upole naamini ndio njia rahisi na nzuri basi anapanda juu na mimi nikiona mtu kapanda juu basi natulia namsikiliza yeye. Now nina history nyingi za watu ambao tumeachana sababu hiyo, mimi huwa sipend kufoka na kupiga.

Yaani kifupi mimi sio mkali, ata akinikosea mimi basi naomba msamaha, nisaidie nifanye nini? I need to change na nahitaji ushauri mzuri na sio matusi wala kejeli.
Mungu anisamehe kama itakua ni dhambi....Me sipendi mwanaume mpole nataka Yale mapenzi nmechezea vibao kidg.... Badae anakuja kuniomba msamaha
 
🤣🤣🤣Aisee
🤣🤣🤣 hivyo yaani mapenzi ni nyinyi wenyewe kuyanogesha.

Sasa kama kapata tule tuvibao tuwili twamahaba atajilizaliza hapo.

Baadaye unamfuata unamwambia babe naomba unisamehe ni hasira tu zilinipanda

Unamkumbatia kiss mbili tatu za paji la uso na shavuni unamalizia na kiss kwenye lips zake unalaza kichwa chake kwenye mabega yako. Huku ukimshikashika mgongoni kimahaba na maneno ya kuomba msamaha na kimahaba

Kama mko kitandani process ni zilezile ila hapa baada ya kuzimaliza unamlaza kifuani kwako huku unamsuguasugua mgongo kimahaba na kuzishikashika nywele zake kimahaba na maneno ya kuomba msamaha
 
inawezekana pia unapiga Show za upole sana hupendi Show Show... Me nakushauri tu kaza trako pelekea moto uone kama kuna mwanamke atakuletea dharau
 
Back
Top Bottom