Mapungufu yangu naona ndio sababu

Mapungufu yangu naona ndio sababu

Unafaa kuwa my soul mate basi tu sasa napambana na hali yangu pambav zangu
Friends yesterday, lovers today, soulmates forever

Pole rafiki yangu, shida yako ni shida yangu kipenzi. Kama hautajali naomba uniambie nipo kwa ajili yako hata ukini PM
 
Habari za mchana,

Nina mapungufu mengi nikiwa kwenye mahusihano, moja ni kutojua kufoka yaani nashindwaga kabisa kumfokea mtu niliyenae kwenye mahusihano.

Na kama amenikosea basi nikiaza kumuelekeza kwa upole naamini ndio njia rahisi na nzuri basi anapanda juu na mimi nikiona mtu kapanda juu basi natulia namsikiliza yeye. Now nina history nyingi za watu ambao tumeachana sababu hiyo, mimi huwa sipend kufoka na kupiga.

Yaani kifupi mimi sio mkali, ata akinikosea mimi basi naomba msamaha, nisaidie nifanye nini? I need to change na nahitaji ushauri mzuri na sio matusi wala kejeli.
Usharogwa,
Umewekwa kwenye chupa,
Fika msata kilingeni kwa matibabu zaidi
Aione kwenye faili: Mshana Jr Mzizi mkavu Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi sipendi kumfokea mwanamke na hua namuelekeza asipoelewa namuachaga afanye maamuzi yake. Unachotakiwa kufanya tafuta mwanamke wa Caliber yako mpole na msikivu
 
Habari za mchana,

Nina mapungufu mengi nikiwa kwenye mahusihano, moja ni kutojua kufoka yaani nashindwaga kabisa kumfokea mtu niliyenae kwenye mahusihano.

Na kama amenikosea basi nikiaza kumuelekeza kwa upole naamini ndio njia rahisi na nzuri basi anapanda juu na mimi nikiona mtu kapanda juu basi natulia namsikiliza yeye. Now nina history nyingi za watu ambao tumeachana sababu hiyo, mimi huwa sipend kufoka na kupiga.

Yaani kifupi mimi sio mkali, ata akinikosea mimi basi naomba msamaha, nisaidie nifanye nini? I need to change na nahitaji ushauri mzuri na sio matusi wala kejeli.
Ukishakubali kupandwa kichwani umekwisha, ni lazima wakunyee utosini.
Zinduka.
 
Hutujui vizuri usipotifokea tunajisahau fasta nakuanza kukufokea wewe. Ushauri Anza kufoka Sasa 🤣
 
Mpige walau kofi siku moja utaanza ku gain momentum
 
Habari za mchana,

Nina mapungufu mengi nikiwa kwenye mahusihano, moja ni kutojua kufoka yaani nashindwaga kabisa kumfokea mtu niliyenae kwenye mahusihano.

Na kama amenikosea basi nikiaza kumuelekeza kwa upole naamini ndio njia rahisi na nzuri basi anapanda juu na mimi nikiona mtu kapanda juu basi natulia namsikiliza yeye. Now nina history nyingi za watu ambao tumeachana sababu hiyo, mimi huwa sipend kufoka na kupiga.

Yaani kifupi mimi sio mkali, ata akinikosea mimi basi naomba msamaha, nisaidie nifanye nini? I need to change na nahitaji ushauri mzuri na sio matusi wala kejeli.
Tafuta khelaa pili Acha kufatilia/ kuangalia series za kikorea
 
TULIKUWA HIVYO MWANZO BUT NOW MAPENZI TUMEYAWEKA PEMBENI TUNATAFUTA MAISHA
 
Back
Top Bottom