Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hongera ,,,watu wanabahati jamani wanazichezea😀wengine tunatafuta wapole Kama hivi wengine wanawapiga teke..😅😅Habar za mchana
Nina mapungufu mengi ni kiwa kwenye mahusihano moja ni kutojua kufoka yaani nashindwaga kabisa kumfokea mtu nilie nae kwenye mahusihano...
MbeyaUnatokea mkoa gani......
Bila shaka wew unatokea mikoa ya pwani
Daka fursa sasaHongera ,,,watu wanabahati jamani wanazichezea😀wengine tunatafuta wapole Kama hivi wengine wanawapiga teke..😅😅
Nadakaje sasaDaka fursa sasa
Mbeya hatuna watu kama nyieMbeya
Wapo, wakaka wambeya ndivo walivo wapole hawana sautiMbeya hatuna watu kama nyie
Tujenge nn😅😅Kama vipi njoo tuyajenge usiogope🤣
BondTujenge nn😅😅
Tatizo ya wanawake wengi wakibongo bila vipigo heshima hamnaHongera ,,,watu wanabahati jamani wanazichezea😀wengine tunatafuta wapole Kama hivi wengine wanawapiga teke..😅😅
Wanaume wengi wa Mbeya mna huo udhaifu. Mkiwa mtaani mnajifanyaga wajanja lakini kwa mademu zenu wa Kinyaki mnkuwaga wapoleMbeya
Sio kweliTatizo ya wanawake wengi wakibongo bila vipigo heshima hamna
HowUnaanzisha Uzi halafu unajicommentia tena kabla ya wadau. Anyway, Bado sijakuelewa unataka kuondokana na Hali hiyo au unataka mpenzi serious?