Kawaida yenu wanawake tukimaliza hela mnaanza dharau, sasahivi ni mwendo wa shabaUmeacha kuweka interview yote ili ujichagulie ya kusema na kupindisha pindisha maneno.
Mkopo ulichukuliwa kumaliza ujenzi wa nyumba na kulipa ada za watoto maana mume alishaishiwa, mbona hayo mambo na madudu mengine ya Kweka hujayasema na dada ameyaelezea?
View: https://youtu.be/T_rAcK8HiN0?is=7MYsIz_38bPqZMY8
Mnashupaza vichwa kama vile hiyo nyumba ilijengwa na mume peke yake. Wengine hata hamjaona kwamba nyumba yenyewe bado ilikua haijakamilika finishing na ni wazi kulikua na changamoto nyingine za kiuchumi.
Mke hakuwa mkamilifu na ana makosa yake ila acheni kutetea upuuzi wa muuaji.
R.I.P Jane Maloo Urassa 🪦💔
NakaziaMsiandike sana mtayumbisha ndoa za wengi, hata watoto nahisi jamaa aliingiwa hofu huenda si wakwake, yaani mke anahudumiwa kwa chakula, malazi na mavazi ila Bado anaenda kukopa fedha benki tena kwa Siri na kubadilisha jina kwenye hati ya nyumba pasipo kumshirikisha mumewe....hicho kiburi na jeuri nani alimshauri huko nje?..
Hata ningekuwa Mimi pengine ningefanya unyama zaidi ya huo🤔🤔🤔, tunaoana lakini ni hatari sana aisee
Mapungufu ya mwanamke ni yapi?Umeacha kuweka interview yote ili ujichagulie ya kusema na kupindisha pindisha maneno.
Mkopo ulichukuliwa kumaliza ujenzi wa nyumba na kulipa ada za watoto maana mume alishaishiwa, mbona hayo mambo na madudu mengine ya Kweka hujayasema na dada ameyaelezea?
View: https://youtu.be/T_rAcK8HiN0?is=7MYsIz_38bPqZMY8
Mnashupaza vichwa kama vile hiyo nyumba ilijengwa na mume peke yake. Wengine hata hamjaona kwamba nyumba yenyewe bado ilikua haijakamilika finishing na ni wazi kulikua na changamoto nyingine za kiuchumi.
Mke hakuwa mkamilifu na ana makosa yake ila acheni kutetea upuuzi wa muuaji.
R.I.P Jane Maloo Urassa 🪦💔
Mtu aishiwe akate tiketi ya ndege kutoka moshi hadi dar afu anamiliki chuma cha moto au hio kodi ya chuma unamlipiaga weweUmeacha kuweka interview yote ili ujichagulie ya kusema na kupindisha pindisha maneno.
Mkopo ulichukuliwa kumaliza ujenzi wa nyumba na kulipa ada za watoto maana mume alishaishiwa, mbona hayo mambo na madudu mengine ya Kweka hujayasema na dada ameyaelezea?
View: https://youtu.be/T_rAcK8HiN0?is=7MYsIz_38bPqZMY8
Mnashupaza vichwa kama vile hiyo nyumba ilijengwa na mume peke yake. Wengine hata hamjaona kwamba nyumba yenyewe bado ilikua haijakamilika finishing na ni wazi kulikua na changamoto nyingine za kiuchumi.
Mke hakuwa mkamilifu na ana makosa yake ila acheni kutetea upuuzi wa muuaji.
R.I.P Jane Maloo Urassa 🪦💔
Huo ukoo,ni kawaida yao! Kuna mwingine yuko huku Mara,yuko hivyo hivyoKOSA MWANAMKE KUJIAMULIA MAMBO
Mnatutisha tunao tegemea kuoa aiseeDada wa marehemu Jenifer (Jeni) Urassa ambaye anaitwa Bella Urassa amesema hawezi kusema uongo, ni kweli mdogo wake alimweleza siku chache kabla ya kuuawa kuwa alikuwa na hofu kuhusu usalama wa maisha yake, akihusisha hofu hiyo na mgogoro wa umiliki wa nyumba yao iliyopo Bunju, Dar es Salaam. Hii ni baada ya Jane kubadilisha umiliki (hati) ya nyumba na kusoma jina lake na jina la watoto wake kinyume na matakwa ya mumewe Laurent Kweka ambaye kimsingi ndiye mmiliki halali wa nyumba hiyo.
"Nisiwe muongo, ni kweli Jeni alinieleza kuwa ni kweli ameshughulikia hati na hati ya nyumba hiyo imetoka ikiwa na majina ya watoto wao wanne, na jina lake yeye akiwa msimamizi wao, jambo ambalo alidai lilipingwa na mume wake aliyekuwa akitaka hati hiyo iandikwe kwa majina ya wanandoa hao wawili." Amesema
Jeni kwa sababu zake binafsi hakutaka kabisa hati za umiliki wa mali ikiwemo nyumba hiyo yenye thamani ya inayopindukia milioni 350 viwe na jina la mumewe.
Kwa mujibu wa Bella, baada ya hati hiyo kutoka, Jeni aliwahi kusema anaamini mume wake angeweza kumuua kutokana na kitendo alichofanya cha kubadili hati hiyo ya nyumba bila idhini ya mumewe
Aidha Jeni alienda mbali zaidi akachukua mkopo bila ridhaa ya mume wake ba bila kumjulisha. Hata hivyo Mkopo alishindwa kurejesha, na walivyo mtafuta mume wake aka wajibu yeye hana pesa hivyo washughulike na aliyechukua mkopo.
Jeni, mzaliwa wa Nkuu Sinde, Kata ya Machame Mashariki, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, aliuawa kwa kupigwa risasi na mume wake alfajiri ya Alhamisi, Oktoba Mosi, 2026, nyumbani kwao Bunju, baada ya kutokea kwa tafrani ndani ya chumba walichokuwa wakiishi.
Akizungumzia mazishi, baba mdogo wa marehemu, Joseph Urassa, amesema familia ya kwao imeamua kumzika Jeni nyumbani kwao, kama alivyokuwa ameomba kuwa siku akifa asizikwe nyumbani kwa mume wake... Kwa upande wake, Mwenyekiti wa ukoo wa familia alikoolewa, Mchungaji Tumsifu Kweka, amesema familia yao haitalumbana na familia ya Urassa na itaheshimu taratibu zitakazokubalika kuhusu mahali marehemu atakapozikwa.
Huyo dada alikuwa zaidi ya shetani asee
Hakusafiri kwa ndege, ila hata kama ingekua hivyo, wewe unafikiri kuweza kulipia 270,000 ya air Tanzania ni kuwa tajiri?Mtu aishiwe akate tiketi ya ndege kutoka moshi hadi dar afu anamiliki chuma cha moto au hio kodi ya chuma unamlipiaga wewe
Ndio wale wale ni hivi jamaa alikuwa vizuri sema changamoto ya ugonjwa na mke akataka ajimilikishe maana watoto walikuwa wanahudumiwa vizuri sasa baada ya kuona mme hayupo home akarudi akamilishe mambo yake kikamlambaHakusafiri kwa ndege, ila hata kama ingekua hivyo, wewe unafikiri kuweza kulipia 270,000 ya air Tanzania ni kuwa tajiri?
Ripoti ya polisi bado haijatoka, umejuaje kama hiyo silaha alikua namiliki kihalali?
Huyo jamaa pesa ipo na sio mara ya kwanza kuruka na chopa ni kawaida yake anaweza kuja na chopa akakaa siku mbili akarudi na chopa huko moshi sasa wewe unasema eti kupaa na chopa sio utajiri basi na wewe panda hio chopa tuone basi 😂Hakusafiri kwa ndege, ila hata kama ingekua hivyo, wewe unafikiri kuweza kulipia 270,000 ya air Tanzania ni kuwa tajiri?
Ripoti ya polisi bado haijatoka, umejuaje kama hiyo silaha alikua namiliki kihalali?
Andiko limekaa kitapeli tapeli sana halitoshi hata kulitolea povu 😂Binti wa zamani njoo utoke povu huku
Kiwanja kilikua chake, ila kiliendelezwa na wanadoa wote na automatically kikabadilika na kuwa matrimonial asset yao wote wawili. Swala la kutomuweka Kweka kama msimamizi mwenza kwenye hati miliki yenye majina ya watoto halikuwa limekaa sawa. Kisheria na hata kibinadamu alikosea, japo si kigezo cha kuuawa!Mapungufu ya mwanamke ni yapi?
Mkae kwa kutulia, mbona nyie mkiwa nazo na kutumia na michepuko yenu tunavumilia?Kawaida yenu wanawake tukimaliza hela mnaanza dharau, sasahivi ni mwendo wa shaba
Amina 💔 💔 💔Apumzike mahala pema kipenzi chetu Jane Urassa