Mapya yaibuka ofisa TRA anayedaiwa kujiua hotelini

Nilishasema kuwa kuna walakini kwenye huu mkasa.

Tanzania inapoteza wataalam wake kirahisi kwa sababu za compliances tu.

Kuwa mwizi mwizi utaishi, ukijifanya unataka ukaongoze malaika wanakutanguliza kabla ya muhula
 
Polisi ipi mnayosubiri ije na majibu ya kujibu maswali yenu????????????????

Majibu ya watu hawa kwani polisi walisemaje

1. Tukio la Lissu
2. Dr. Ulimboka
3. Ben saanane
4. Akwilina(UDSM)
5. Nusrat (UDOM)
6.Yule jamaa wa Dar aliyepigana na polisi Risasi aliyekuwa amenyanganywa DHAHABU baadaye tukaambia alikuwa ameanza ugaidi.
7. Mo Dewj kutekwa kwake.


NB. POLISI WA TZ HATAKI KWENDA MBALI UTAFITI WAO UTAONESHA UKWELI ENDAPO TUKIO HILO LINAHUSISHA POLISI MWENZAO KUONEWA AU KUFANYIWA JAMBO BAYA.

Chakushangaza kasi za kujiua wanazihitimisha haraka sana na kwa muda mfupi.
 
Gorofa 2 mtu kufa labda Afanye kama anaogelea adive kichwa kitangulieee.. Otherwise its a murder case not suicide sema bongo ndo imeishaa hiyoo!! Na kishindo cha kujitupa hakuna mtu yeyote aliesikia kweli kwa yale mazingira ya ile hotel.
Hata mimi nakataa sio parefu labda katua na kichwa .
 
RIP na ile nyumba yako nzuri ambayo umetumia miaka 10 kuijenga na kuishi kwa miaka 1 sasa ni mali halali ya wife wako uliyeishi nae miaka 2.

Hii kauli yako imenifanya niwaelewe wanaosema ndoa ni utapeli.

Mama yake marehemu na baba yake, na ndugu zake wote waliomsaidia miaka mingii hawana mamlaka tena ya kukanyaga ndani ya hiyo nyumba.

Nyumba iliyojengwa kwa miaka 10 Inakuwa mali ya mke alieishi na mume ndani ya hiyo nyumba mwaka mmoja tu wa ndoa yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…