Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Taarifa ya MwanaHalisi imeeleza
Wanaccm Hawaachiani Maji ya kunywa mezani- Kikwete
Wanaccm Hawaachiani Maji ya kunywa mezani- Kikwete
Yetu MachoJamaa wanatangulizana sana 🙌
Kwamba hakutakiwa kugombea Uspika?I hate uzushi.
Taifa ambalo msingi wake ni uzushi, unafiki na uchawa lisahau maendeleo
Yule njiti Tulia naye nuksi sanaTaarifa ya MwanaHalisi imeeleza
View attachment 3443109
Wanaccm Hawaachiani Maji ya kunywa mezani- Kikwete
Unaambiwa ni balaa! Kuna upupu mpya ukipuliziwa tu humalizi masaa 24, kitu cha Putin hicho!Yule njiti Tulia naye nuksi sana
Taarifa ya MwanaHalisi imeeleza
View attachment 3443109
Wanaccm Hawaachiani Maji ya kunywa mezani- Kikwete
Wewe ni kati ya watu wenye nia ovu na taifaUnaambiwa ni balaa! Kuna upupu mpya ukipuliziwa tu humalizi masaa 24, kitu cha Putin hicho!
Kwahiyo wewe HAUTAKUFA kwasababu hakuna wa kukutanguliza? PUMBAVU!Wakaona wamuonndoe.
Sijawahi kuwa mwandishi wa MwanaHalisiWewe ni kati ya watu wenye nia ovu na taifa
Mada zako nyingi ni za chuki
Lengo la mada zote hapa JF ni kuhabarisha Umma kuhusu yaliyoandikwa, yaliyosemwa ama yanayoendelea.Cjawai kuelewaga nia ya mada zako
Si wangekata tu jina lake kwenye mchakato wa ndani wa chama?Wakaona wamuonndoe.
I hate uchawa.I hate uzushi.
Taifa ambalo msingi wake ni uzushi, unafiki na uchawa lisahau maendeleo
Swali lako ni la kijinga sanaKwahiyo wewe HAUTAKUFA kwasababu hakuna wa kukutanguliza? PUMBAVU!