mbio mbio
mbio mbio
Majibu yako ni ya kijinga na kipumbavu sana.Swali lako ni la kijinga sana
Usitutoe kwenye mada, tunakupuuza rasmiMajibu yako ni ya kijinga na kipumbavu sana.
Sawa. Nami nakupuuza, lakini ni mjinga na mpumbavu ndiye anayeamini wenzake watakufa utafikiri yeye atabaki milele. Narudia kama unaamini hivyo, wewe ni mjinga sana na mpumbavu sana.Usitutoe kwenye mada, tunakupuuza rasmi
Mambo ya hovyo sanaI hate uchawa.
Tulia Ackson ameshakuwa gaidi namna hiyo?!Taarifa ya MwanaHalisi imeeleza
View attachment 3443109
Wanaccm Hawaachiani Maji ya kunywa mezani- Kikwete
Alijuzuru kwa kumkosoa mwenyekiti wake wa chama, halafu chama hichohicho ndyo kipendekeze jina lake??Kwamba hakutakiwa kugombea Uspika?
Hao wanaopuliza,wanakuwa,wapi mpaka usuwapate huo upupu, uwapate,wapuliziwaji tu?Unaambiwa ni balaa! Kuna upupu mpya ukipuliziwa tu humalizi masaa 24, kitu cha Putin hicho!
zinapulizwa na min drones?? 😀H
Hao wanaopuliza,wanakuwa,wapi mpaka usuwapate huo upupu, uwapate,wapuliziwaji tu?
Mkuu hizo ni mambo za sekunde chache tu. Kaka yake Kim Jong aliuliwa kwa kupakwa sumu within 3 seconds tu na baada ya nusu saa akaaga dunia, sasa unaweza jiuliza aliyepaka naye si angekufa?H
Hao wanaopuliza,wanakuwa,wapi mpaka usuwapate huo upupu, uwapate,wapuliziwaji tu?
ni siri yao, si kwa matumizi ya ummaSidhani! Yule alikuwa mgonjwa wa muda mrefu!
Wazuri hawafiIla anaeua nae atauwawa kwa upanga.