sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,980
- 4,992
Wakati wa kampeini huko Kongwa aliulizwa kwanini asiachie kazi ya kuwania ubunge kwa kuwa kiafya kachoka,wanataka mtu mpya.Polepole alishauri kwa upole akapuuzwa,
Sie wengine tulishauri tukapuuzwa.
Hakuwa na sababu kugombea. Maana asingekuwa na jipya, ni sawa na sasa Mzee wa Msoga naye achukue fomu ya Urais,
Kuna mtu ataelewa?
Kwa mfumo huu sioni kama chama cha CCM kingempendekeza.