Mapya yajitokeza kuhusu Kifo cha Ndugai, Yadaiwa alipanga kugombea tena Uspika

Polepole alishauri kwa upole akapuuzwa,

Sie wengine tulishauri tukapuuzwa.

Hakuwa na sababu kugombea. Maana asingekuwa na jipya, ni sawa na sasa Mzee wa Msoga naye achukue fomu ya Urais,

Kuna mtu ataelewa?
 
Wakaona wamuonndoe.
Si wangekata tu jina lake kwenye mchakato wa ndani wa chama?

Au ndio kama vile Walter White alivyomuua Mike halafu akaona kuwa hakukua na ulazima wa kumuua😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…