Wakati wa kampeini huko Kongwa aliulizwa kwanini asiachie kazi ya kuwania ubunge kwa kuwa kiafya kachoka,wanataka mtu mpya.Polepole alishauri kwa upole akapuuzwa,
Sie wengine tulishauri tukapuuzwa.
Hakuwa na sababu kugombea. Maana asingekuwa na jipya, ni sawa na sasa Mzee wa Msoga naye achukue fomu ya Urais,
Kuna mtu ataelewa?
..tujifariji hivyo, lakini huu mchezo ni survival for the fittestIla anaeua nae atauwawa kwa upanga.
Shetani hana RafikiAisee...
Huenda kilichomponza ni siku ile alipoalikwa bungeni na akahudhuria.alifanya kosa sana. AsingekufaTaarifa ya MwanaHalisi imeeleza
View attachment 3443109
Wanaccm Hawaachiani Maji ya kunywa mezani- Kikwete
Ningekuwa Nina mamlaka ningeamuru hao wanaooa huko ughaibuni walete posa niwaozeshe chadema wote wawatoe nchini hapa maana hawana maana. Hivi wanaongea ujinga gani huu unaowafanya waje mbio kushangilia?!!!!!Taarifa ya MwanaHalisi imeeleza
View attachment 3443109
Wanaccm Hawaachiani Maji ya kunywa mezani- Kikwete
Ambacho kingebadilika ni kipi? Yaani akiwa spika akapishana na rais na mwenyekiti wake akashauriwa kuachia kiti akaachia! Then aje amshinde tena Rais huyo huyo na mwenyekiti wa chama akigombea tena uspika ambao awali aliachia?Taarifa ya MwanaHalisi imeeleza
View attachment 3443109
Wanaccm Hawaachiani Maji ya kunywa mezani- Kikwete
Swali lako ni bombaAmbacho kingebadilika ni kipi? Yaani akiwa spika akapishana na rais na mwenyekiti wake akashauriwa kuachia kiti akaachia! Then aje amshinde tena Rais huyo huyo na mwenyekiti wa chama akigombea tena uspika ambao awali aliachia?