Mara: Abiria 16, Dereva na Kondakta wakamatwa kwa tuhuma za kumpiga Askari wa Usalama Barabarani

Ili Swala niliwahi kulisema Wanasiasa matamko yao yanaweza kupelekea Machafuko..

Na Rais kama Conforter In Chief yaani Mfariji mkuu wa Taifa hakupaswa Kutoa Ile Hotuba imechochea Hasira Nyingi sana kwa Raia..

inabidi angetoa Hotuba ya Kufariji kwa sababu wanaoumia na Matukio haya Ni raia na wala sio wanasiasa
 
Wameshashinda kesi hao.
Kwanza, haiwezekani abiria 18 kumpiga askari mmoja. Katika hili Polisi hawajataka kufanya uchunguzi wa ni nani walihusika na nani hawakuhusika. So wanawakomoa kwa kutoingilia kumsaidia huyo askari wao.

Pili, huyo mnadhimu ameshatoa hukumu kwamba wote 18/15 wanakwenda gerezani. Gerezani watu hupelekea baada ya mahakama kuwakuta na hatia. Sasa huyu tayari ameshatoa hukumu yake na kui pre-empty mahakama kufanya kazi yake.
 
Hujielewi, wafie jela wameua? kipigo kwa skari ni sehemu ya mazoezi yake
 
askari
akiingia kwenye mfumo ni wa kupiga tu mpk aombe maji
 
Duh!..
 
Huyo askari kuna jambo itakuwa alifanya au alitoa kauli chafu , si rahisi watu wote wampige yeye kama alitumia ustaarabu wa kisheria
 
Sasa mkuu mimi mkia nautoa wapi jamani, anyway nimesema tu maneno yangu sio katiba.

Acha iwe vyovyote vile chief. Tulipofikia hata usipowarushia ngumi, wanakuvalisha pingu wanaenda kukuua wakutupe ununio. Bora iwe rabsha rabsha na kashikashi hivi hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…