King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Sasa unaingia TARIME!mkoani Mara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unaingia TARIME!mkoani Mara
Askari huwa wanajiona kama miungu watu ,yaani wao ndiyo wanajua kila kitu na wana haki ya kukufanya chochote! Next time ni Kupiga na kuwachoma moto tu ili akili iwakae sawa...Askari kinachowapa nguvu ni hiyo mitutu yao tu.Huyo askari kuna jambo itakuwa alifanya au alitoa kauli chafu , si rahisi watu wote wampige yeye kama alitumia ustaarabu wa kisheria
Wangemtoa meno abaki mapengo maisha yake yote.
Watu pekee ambao hawajawa misukule ya siasa na maujinga ya pwani pwani.Tatzo watu wakanda ya ziwa bdo wajastarabka matumiz ya nguvu inawasumbua na ukabla
Acha uogaSasa kuna faida gani na wanaenda kufia jela na huyo jamaa atafungiwa leseni yake na lastly sahii watakuwa wametepeta vibaya sana, sasa kuna faida gani? hivi ni sifa mtu kuvunjwa kiuno halafu akabaki kilema maisha yote kwa kuwa tu amepata heshima ya kuingia kwenye clashes na serikali?.
Wao wanajichukulia sheria mkononi kwa kutuchukulia buku tano-kumi kila siku? Hujui uonevu wa hawa jamaa...
Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu 18, wakiwemo dereva, kondakta na abiria 16, kwa tuhuma za kumpiga askari wa usalama barabarani aliyekuwa akikagua gari walilokuwa wamepanda. Tukio hilo lilitokea Septemba 18, 2024, saa 12 jioni katika mkoa wa Mara.
Akizungumza kuhusu tukio hilo, Ofisa Mnadhimu wa Jeshi la Polisi Trafiki Kuu, Butusyo Mwambelo, amesema kuwa askari huyo alikumbwa na kipigo wakati akijaribu kushusha abiria waliokuwa wamesimama kwenye gari. Hata hivyo, kondakta wa gari hilo alifunga mlango na wote waliokuwa ndani ya gari, akiwemo dereva, kondakta, na abiria, walianza kumshambulia askari huyo.
“Askari wetu alikuwa akitekeleza wajibu wake wa kuwataka abiria waliokuwa wamesimama kwenye gari washuke. Lakini ghafla walimzonga kwa maneno ya kebehi, na kondakta kufunga mlango wa gari. Ndipo dereva, kondakta na abiria wao wakaanza kumpiga askari akiwa ndani ya gari. Je, kweli tumefika hatua hiyo kama Watanzania?” alisema Mwambelo.
=============
Wananchi wanahasira sana hadi kufikia hatua ya kumtwaga askari mh tunapoelekea sasa ni balaa tupu!
Soma Pia: Abiria watakiwa kupaza sauti kwa Madereva wasiofuata Sheria za Usalama Barabarani
Si wananyea ndoo sasa hivi au?..na watanyea kwa mudaKanda maalumu wamefanya yao
Hakuna excuse ya kumpiga huyo askari,sheria ifuate mkondoIli Swala niliwahi kulisema Wanasiasa matamko yao yanaweza kupelekea Machafuko..
Na Rais kama Conforter In Chief yaani Mfariji mkuu wa Taifa hakupaswa Kutoa Ile Hotuba imechochea Hasira Nyingi sana kwa Raia..
inabidi angetoa Hotuba ya Kufariji kwa sababu wanaoumia na Matukio haya Ni raia na wala sio wanasiasa