Mara: Abiria 16, Dereva na Kondakta wakamatwa kwa tuhuma za kumpiga Askari wa Usalama Barabarani

Huyo askari kuna jambo itakuwa alifanya au alitoa kauli chafu , si rahisi watu wote wampige yeye kama alitumia ustaarabu wa kisheria
Askari huwa wanajiona kama miungu watu ,yaani wao ndiyo wanajua kila kitu na wana haki ya kukufanya chochote! Next time ni Kupiga na kuwachoma moto tu ili akili iwakae sawa...Askari kinachowapa nguvu ni hiyo mitutu yao tu.
 
Juzi ilikuwa Lamadi. Sasa imeenda Mara. Mimi sio mpiga ramli wa kigiriki
 
Ningekuwa polisi hata siku moja nisingejitoa kupambania uhai wa mwananchi,maana hapo kwa kutumia akili zangu timamu sioni kosa la hao askari kushambuliwa kisa kuwashusha waliozidi katika gari.Hivi wakifa hao watu polisi mtakosa mishahara?
 
Tz bado huduma nyingi za Jamii ni mbovu, unawashushaje watu walosimama kwenye Gari tena mkoani watu 18 tu wakati Dar watu zaidi ya 150 wanasimama kwenye Mwendokasi moja wanakosa mpaka pumzi wengine wanazimia wengine wanaumia hovyo hovyo na hakuna Trafic anaeliona hilo.
Wapigwe tu mpaka watakapowaambia waajiri wao waboreshe huduma maana hakuna mtu anapenda kusimama akaacha seat iliyowazi.
 
Hakuna excuse ya kumpiga huyo askari,sheria ifuate mkondo
 
Tz bado huduma nyingi za Jamii ni mbovu, unawashushaje watu walosimama kwenye Gari tena mkoani watu 18 tu wakati Dar watu zaidi ya 150 wanasimama kwenye Mwendokasi moja wanakosa mpaka pumzi wengine wanazimia wengine wanaumia hovyo hovyo na hakuna Trafic anaeliona hilo.
Wapigwe tu mpaka watakapowaambia waajiri wao waboreshe huduma maana hakuna mtu anapenda kusimama akaacha seat iliyowazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…