Hivi kesi ikiwa kwamba abiria walijihami baada ya askari kuanza kumpiga konda makonde kesi itakuwaje.Maafande watakua wamekuza tu kesi uyu atakua alipigana na konda au dereva na abiria wakashangilia akaona awaonyeshe nguvu ya dola , huwezi kupigwa na watu 18 kwa pamoja ndani ya gari miundombinu na physics inakataa kabisa
Wakurya watu poa sana tatizo ukiwaletea upuuzi dakika 0 tu ngumi mkononiInasemekana wamegoma kabisa abiria 18 kukamatwa kwa kosa hilo kweli wakurya ni balaa.
Siku wakutie mimba, kahaba wa kiumeUraiani wanasema wametosheka na mgao wako wa hisani.
Ndio maana nasisi tunaomba watano watano maana mmoja mmoja hatukuwezi.
Wamegoma kabisa gari lisikamatwe.Wakirya watu poa sana tatizo ukiwaletea upuuzi dakika 0 tu ngumi mkononi
Baba yako aliishajifungua au???Siku wakutie mimba, kahaba wa kiume
🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕Baba yako aliishajifungua au???
Lini polisi wamejitoa kulinda uhai wa raia?Ningekuwa polisi hata siku moja nisingejitoa kupambania uhai wa mwananchi
Wataalamu w usalama naomba elimu kuhusu level seat.Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu 18, wakiwemo dereva, kondakta na abiria 16, kwa tuhuma za kumpiga askari wa usalama barabarani aliyekuwa akikagua gari walilokuwa wamepanda. Tukio hilo lilitokea Septemba 18, 2024, saa 12 jioni katika mkoa wa Mara.
Akizungumza kuhusu tukio hilo, Ofisa Mnadhimu wa Jeshi la Polisi Trafiki Kuu, Butusyo Mwambelo, amesema kuwa askari huyo alikumbwa na kipigo wakati akijaribu kushusha abiria waliokuwa wamesimama kwenye gari. Hata hivyo, kondakta wa gari hilo alifunga mlango na wote waliokuwa ndani ya gari, akiwemo dereva, kondakta, na abiria, walianza kumshambulia askari huyo.
“Askari wetu alikuwa akitekeleza wajibu wake wa kuwataka abiria waliokuwa wamesimama kwenye gari washuke. Lakini ghafla walimzonga kwa maneno ya kebehi, na kondakta kufunga mlango wa gari. Ndipo dereva, kondakta na abiria wao wakaanza kumpiga askari akiwa ndani ya gari. Je, kweli tumefika hatua hiyo kama Watanzania?” alisema Mwambelo.
=============
Wananchi wanahasira sana hadi kufikia hatua ya kumtwaga askari mh tunapoelekea sasa ni balaa tupu!
Soma Pia: Abiria watakiwa kupaza sauti kwa Madereva wasiofuata Sheria za Usalama Barabarani
Safi sanaaa😍😍😍😍😍😍.Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu 18, wakiwemo dereva, kondakta na abiria 16, kwa tuhuma za kumpiga askari wa usalama barabarani aliyekuwa akikagua gari walilokuwa wamepanda. Tukio hilo lilitokea Septemba 18, 2024, saa 12 jioni katika mkoa wa Mara.
Akizungumza kuhusu tukio hilo, Ofisa Mnadhimu wa Jeshi la Polisi Trafiki Kuu, Butusyo Mwambelo, amesema kuwa askari huyo alikumbwa na kipigo wakati akijaribu kushusha abiria waliokuwa wamesimama kwenye gari. Hata hivyo, kondakta wa gari hilo alifunga mlango na wote waliokuwa ndani ya gari, akiwemo dereva, kondakta, na abiria, walianza kumshambulia askari huyo.
“Askari wetu alikuwa akitekeleza wajibu wake wa kuwataka abiria waliokuwa wamesimama kwenye gari washuke. Lakini ghafla walimzonga kwa maneno ya kebehi, na kondakta kufunga mlango wa gari. Ndipo dereva, kondakta na abiria wao wakaanza kumpiga askari akiwa ndani ya gari. Je, kweli tumefika hatua hiyo kama Watanzania?” alisema Mwambelo.
=============
Wananchi wanahasira sana hadi kufikia hatua ya kumtwaga askari mh tunapoelekea sasa ni balaa tupu!
Soma Pia: Abiria watakiwa kupaza sauti kwa Madereva wasiofuata Sheria za Usalama Barabarani
Kwa mimi nimewasapoti hao jamaa.Hakuna excuse ya kumpiga huyo askari,sheria ifuate mkondo
Uko sahihi,mwanasheria wako nipo,demka mama ntakutetea popote!Maza juzi kasema watu wameota mikia ndo nilipolitolea hilo neno
Mkuu umetisha sanaSina baba mjinga kama wewe, mama yangu ni marehemu bibi yako!
Style mpya ya maandamano, waandamanaji wanajazana kwenye dadala police ukijilengesha tu, wakufungulia mlango kisha wanafunga then wakikufungulia utachagua moja, kuendelea na hiyo kazi au kuacha, hahahahaha..... Hii mama itakua hajaipata kutoka kwa makachero wake.Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu 18, wakiwemo dereva, kondakta na abiria 16, kwa tuhuma za kumpiga askari wa usalama barabarani aliyekuwa akikagua gari walilokuwa wamepanda. Tukio hilo lilitokea Septemba 18, 2024, saa 12 jioni katika mkoa wa Mara.
Akizungumza kuhusu tukio hilo, Ofisa Mnadhimu wa Jeshi la Polisi Trafiki Kuu, Butusyo Mwambelo, amesema kuwa askari huyo alikumbwa na kipigo wakati akijaribu kushusha abiria waliokuwa wamesimama kwenye gari. Hata hivyo, kondakta wa gari hilo alifunga mlango na wote waliokuwa ndani ya gari, akiwemo dereva, kondakta, na abiria, walianza kumshambulia askari huyo.
“Askari wetu alikuwa akitekeleza wajibu wake wa kuwataka abiria waliokuwa wamesimama kwenye gari washuke. Lakini ghafla walimzonga kwa maneno ya kebehi, na kondakta kufunga mlango wa gari. Ndipo dereva, kondakta na abiria wao wakaanza kumpiga askari akiwa ndani ya gari. Je, kweli tumefika hatua hiyo kama Watanzania?” alisema Mwambelo.
=============
Wananchi wanahasira sana hadi kufikia hatua ya kumtwaga askari mh tunapoelekea sasa ni balaa tupu!
Soma Pia: Abiria watakiwa kupaza sauti kwa Madereva wasiofuata Sheria za Usalama Barabarani
Huna bayaMkuu umetisha sana
Huo useng£ watawafanyia wanaume wa Dar sio vijeba wa mikoa ya kanda ya ziwa , kule Geita ,Simiyu na Mwanza mliona wananchi wasiotaka ujinga walichofanya .Bado wataanza kufutwa majumbani na kupewa kichapo.
kabila zote za kanda ya ziwa bado ni hazijstaarabika ndio maana wanauana hovyo,kiufupi huu ukanda ni takataka.Wakurya watu poa sana tatizo ukiwaletea upuuzi dakika 0 tu ngumi mkononi