Mara: Abiria 16, Dereva na Kondakta wakamatwa kwa tuhuma za kumpiga Askari wa Usalama Barabarani

Maafande watakua wamekuza tu kesi uyu atakua alipigana na konda au dereva na abiria wakashangilia akaona awaonyeshe nguvu ya dola , huwezi kupigwa na watu 18 kwa pamoja ndani ya gari miundombinu na physics inakataa kabisa
Hivi kesi ikiwa kwamba abiria walijihami baada ya askari kuanza kumpiga konda makonde kesi itakuwaje.
 
Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu 18, wakiwemo dereva, kondakta na abiria 16, kwa tuhuma za kumpiga askari wa usalama barabarani aliyekuwa akikagua gari walilokuwa wamepanda. Tukio hilo lilitokea Septemba 18, 2024, saa 12 jioni katika mkoa wa Mara.

Akizungumza kuhusu tukio hilo, Ofisa Mnadhimu wa Jeshi la Polisi Trafiki Kuu, Butusyo Mwambelo, amesema kuwa askari huyo alikumbwa na kipigo wakati akijaribu kushusha abiria waliokuwa wamesimama kwenye gari. Hata hivyo, kondakta wa gari hilo alifunga mlango na wote waliokuwa ndani ya gari, akiwemo dereva, kondakta, na abiria, walianza kumshambulia askari huyo.

“Askari wetu alikuwa akitekeleza wajibu wake wa kuwataka abiria waliokuwa wamesimama kwenye gari washuke. Lakini ghafla walimzonga kwa maneno ya kebehi, na kondakta kufunga mlango wa gari. Ndipo dereva, kondakta na abiria wao wakaanza kumpiga askari akiwa ndani ya gari. Je, kweli tumefika hatua hiyo kama Watanzania?” alisema Mwambelo.
=============
Wananchi wanahasira sana hadi kufikia hatua ya kumtwaga askari mh tunapoelekea sasa ni balaa tupu!

Soma Pia: Abiria watakiwa kupaza sauti kwa Madereva wasiofuata Sheria za Usalama Barabarani

Wataalamu w usalama naomba elimu kuhusu level seat.

Je ni kwa mabasi yote au ni kwa baadhi ya mabasi ndo watu hawatakiwi kusimama ndani ya usafiri?

Mfano Mwendokasi huwa tunajazwa kama mizigo na linapita mbele ya Trafiki na hatakamatwi!

Naomba elimu kuhusu hilo mwenye ufahamu nalo.
Ahsante
 
Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu 18, wakiwemo dereva, kondakta na abiria 16, kwa tuhuma za kumpiga askari wa usalama barabarani aliyekuwa akikagua gari walilokuwa wamepanda. Tukio hilo lilitokea Septemba 18, 2024, saa 12 jioni katika mkoa wa Mara.

Akizungumza kuhusu tukio hilo, Ofisa Mnadhimu wa Jeshi la Polisi Trafiki Kuu, Butusyo Mwambelo, amesema kuwa askari huyo alikumbwa na kipigo wakati akijaribu kushusha abiria waliokuwa wamesimama kwenye gari. Hata hivyo, kondakta wa gari hilo alifunga mlango na wote waliokuwa ndani ya gari, akiwemo dereva, kondakta, na abiria, walianza kumshambulia askari huyo.

“Askari wetu alikuwa akitekeleza wajibu wake wa kuwataka abiria waliokuwa wamesimama kwenye gari washuke. Lakini ghafla walimzonga kwa maneno ya kebehi, na kondakta kufunga mlango wa gari. Ndipo dereva, kondakta na abiria wao wakaanza kumpiga askari akiwa ndani ya gari. Je, kweli tumefika hatua hiyo kama Watanzania?” alisema Mwambelo.
=============
Wananchi wanahasira sana hadi kufikia hatua ya kumtwaga askari mh tunapoelekea sasa ni balaa tupu!

Soma Pia: Abiria watakiwa kupaza sauti kwa Madereva wasiofuata Sheria za Usalama Barabarani

Safi sanaaa😍😍😍😍😍😍.
 
Style mpya ya maandamano, waandamanaji wanajazana kwenye dadala police ukijilengesha tu, wakufungulia mlango kisha wanafunga then wakikufungulia utachagua moja, kuendelea na hiyo kazi au kuacha, hahahahaha..... Hii mama itakua hajaipata kutoka kwa makachero wake.
 
Bado wataanza kufutwa majumbani na kupewa kichapo.
Huo useng£ watawafanyia wanaume wa Dar sio vijeba wa mikoa ya kanda ya ziwa , kule Geita ,Simiyu na Mwanza mliona wananchi wasiotaka ujinga walichofanya .
Mwanza wiki iliyopita kuna mtu alitaka kuchukuliwa kinyemela na hao vibaka wa polisi raia wakafunga barabara na kusema wanachoma gari moto , mbona mhusika aliachiwa ?
Ifike mahala wananchi waache ukondoo wa kiseng£

Hatutakagi mambo ya kiseng£ huku
 
Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu 18, wakiwemo dereva, kondakta na abiria 16, kwa tuhuma za kumpiga askari wa usalama barabarani aliyekuwa akikagua gari walilokuwa wamepanda. Tukio hilo lilitokea Septemba 18, 2024, saa 12 jioni katika mkoa wa Mara.

Akizungumza kuhusu tukio hilo, Ofisa Mnadhimu wa Jeshi la Polisi Trafiki Kuu, Butusyo Mwambelo, amesema kuwa askari huyo alikumbwa na kipigo wakati akijaribu kushusha abiria waliokuwa wamesimama kwenye gari. Hata hivyo, kondakta wa gari hilo alifunga mlango na wote waliokuwa ndani ya gari, akiwemo dereva, kondakta, na abiria, walianza kumshambulia askari huyo.

“Askari wetu alikuwa akitekeleza wajibu wake wa kuwataka abiria waliokuwa wamesimama kwenye gari washuke. Lakini ghafla walimzonga kwa maneno ya kebehi, na kondakta kufunga mlango wa gari. Ndipo dereva, kondakta na abiria wao wakaanza kumpiga askari akiwa ndani ya gari. Je, kweli tumefika hatua hiyo kama Watanzania?” alisema Mwambelo.

Mwambelo alitoa maelezo hayo wakati wa operesheni ya ukaguzi wa magari iliyofanyika Septemba 19, 2024, katika Kituo Kikuu cha Mabasi cha Geita, ambapo alisisitiza kuwa tukio hilo ni la kusikitisha na halitavumiliwa. Jeshi la Polisi limechukua hatua za haraka kuhakikisha wote waliohusika katika tukio hilo wanawajibishwa kisheria.

Chanzo: mwananchi_official

Kawachezeeni Washamba Washamba akina Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi, Wakara na Wanyamwezi na siyo Wakurya au Wazanaki au Wajaluo au Wajita sawa? Na hiyo ni Salamu tosha kwa Matrafiki wote nchini kuwa Watu wa Mkoa wa Mara (Musoma) huwa hatubipiwi na mkitubipu tu tunawapigia.
 
Back
Top Bottom