Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aKiongozi huyo wa Mkoa, Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee ameyaeleza hayo wakati akizungumza na Walimu wa shule tofauti Mkoani hapo.
Amesema amewauliza wanafunzi wengi na wameonekana hawana ufahamu juu ya Sikukuu ya Mapinduzi, kutomfahamu Waziri Mkuu wa Tanzania wala Rais wa Zanzibar.
Amesema “Nimezunguka shule tatu tofauti nimepata mmoja tu ndio mjanja nikampa na Tsh. 10,000. Mtoto wa Darasa la Saba, mwaka huu anafanya mtihani kuhingia kidato cha kwanza lakini hana historia ya Nchi yetu, inaumiza.
“Tusiishie uangalia tu madaftari na sare za shule, nyie ni walimu, hii ni aibu.”
Chanzo & Video: Jambo TV
Umekoti vibaya.Sijaiangalia hiyo video lakini nataka nijue kama kweli RC amewauliza hao wanafunzi juu ya waziri mkuu wa zanzibar
Wewe mwenyewe mkuu mfano wa statement yako umeshindwa kuujengea hoja yenye majibu sahihi!Hivi nikisema 'Baba na mama Amina wanakuja' hivi maana yake ni baba juma na mama Amina au baba Amina na mama Amina ? Soma heading vizuri compare na mfano wangu ndio ujibu
wajue mapinduzi yana faida gani kwao shule zao hazi vioo maji madawat walimuKiongozi huyo wa Mkoa, Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee ameyaeleza hayo wakati akizungumza na Walimu wa shule tofauti Mkoani hapo.
Amesema amewauliza wanafunzi wengi na wameonekana hawana ufahamu juu ya Sikukuu ya Mapinduzi, kutomfahamu Waziri Mkuu wa Tanzania wala Rais wa Zanzibar.
Amesema “Nimezunguka shule tatu tofauti nimepata mmoja tu ndio mjanja nikampa na Tsh. 10,000. Mtoto wa Darasa la Saba, mwaka huu anafanya mtihani kuhingia kidato cha kwanza lakini hana historia ya Nchi yetu, inaumiza.
“Tusiishie uangalia tu madaftari na sare za shule, nyie ni walimu, hii ni aibu.”
Chanzo & Video: Jambo TV
mapunduzi yana faida gani kwao?[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna watu watakuja hapa kulaumu mfumo wa elimu ya TZ.
Kujifunza siyo shuleni tu, ukitoa cartoon watoto wa siku hizi hawafuatilii sherehe za kitaifa ambazo mara nyingi unaweza kudaka vitu baadhi muhimu, kama kujua viongozi, historia ya taifa n.k.
Pia usomaji wa mageziti (siyo ya udaku) ni muhimu. Nakumbuka kipindi naanza kujifunza kusoma, mazoezi mengi nilifanya kupitia magazeti.
Mkuu wa mkoa kasema vizuri, wazazi nao suala la elimu wamewatupia walimu tu.
Kuna umuhimu gani kumjua jina lake hamna faida yeyote msituchanganye[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna watu watakuja hapa kulaumu mfumo wa elimu ya TZ.
Kujifunza siyo shuleni tu, ukitoa cartoon watoto wa siku hizi hawafuatilii sherehe za kitaifa ambazo mara nyingi unaweza kudaka vitu baadhi muhimu, kama kujua viongozi, historia ya taifa n.k.
Pia usomaji wa mageziti (siyo ya udaku) ni muhimu. Nakumbuka kipindi naanza kujifunza kusoma, mazoezi mengi nilifanya kupitia magazeti.
Mkuu wa mkoa kasema vizuri, wazazi nao suala la elimu wamewatupia walimu tu.
Ukiona hivyo ujue viongozi wa Mkoa wote hawafai, pamoja na wilaya. Haiwezekani umuwakilishe Rais halafu hujawaambia wananchi kwamba unamwakilisha Samia na Dk Mwinyi, teuzi ijayo SSH awafute mkuu wa Mkoa na wilaya na wakurugenziKiongozi huyo wa Mkoa, Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee ameyaeleza hayo wakati akizungumza na Walimu wa shule tofauti Mkoani hapo.
Amesema amewauliza wanafunzi wengi na wameonekana hawana ufahamu juu ya Sikukuu ya Mapinduzi, kutomfahamu Waziri Mkuu wa Tanzania wala Rais wa Zanzibar.
Amesema “Nimezunguka shule tatu tofauti nimepata mmoja tu ndio mjanja nikampa na Tsh. 10,000. Mtoto wa Darasa la Saba, mwaka huu anafanya mtihani kuhingia kidato cha kwanza lakini hana historia ya Nchi yetu, inaumiza.
“Tusiishie uangalia tu madaftari na sare za shule, nyie ni walimu, hii ni aibu.”
Chanzo & Video: Jambo TV
Kwamba wakishajua hivyo watakuwa Wana uhakika wa kutoboa kimaisha au lengo tujue umetoa ten
Ina umuhimu gani kuwajua ? Hao sahiv wafundishwe mambo yatkayo wasaidia huko mbele na siyo kukariri majina ya watu
Kwamba wakishajua hivyo watakuwa Wana uhakika wa kutoboa kimaisha au lengo tujue umetoa ten
Wazingatie masomo tu , waachane na maswali yasiyo na tijaKiongozi huyo wa Mkoa, Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee ameyaeleza hayo wakati akizungumza na Walimu wa shule tofauti Mkoani hapo.
Amesema amewauliza wanafunzi wengi na wameonekana hawana ufahamu juu ya Sikukuu ya Mapinduzi, kutomfahamu Waziri Mkuu wa Tanzania wala Rais wa Zanzibar.
Amesema “Nimezunguka shule tatu tofauti nimepata mmoja tu ndio mjanja nikampa na Tsh. 10,000. Mtoto wa Darasa la Saba, mwaka huu anafanya mtihani kuhingia kidato cha kwanza lakini hana historia ya Nchi yetu, inaumiza.
“Tusiishie uangalia tu madaftari na sare za shule, nyie ni walimu, hii ni aibu.”
Chanzo & Video: Jambo TV
Mwalimu Zero, mwanafunzi zero, mzazi ndio kabisa hata aangalie daftari Hana habari 0+0+0 =Ujinga!![emoji23][emoji23][emoji23] Kuna watu watakuja hapa kulaumu mfumo wa elimu ya TZ.
Kujifunza siyo shuleni tu, ukitoa cartoon watoto wa siku hizi hawafuatilii sherehe za kitaifa ambazo mara nyingi unaweza kudaka vitu baadhi muhimu, kama kujua viongozi, historia ya taifa n.k.
Pia usomaji wa mageziti (siyo ya udaku) ni muhimu. Nakumbuka kipindi naanza kujifunza kusoma, mazoezi mengi nilifanya kupitia magazeti.
Mkuu wa mkoa kasema vizuri, wazazi nao suala la elimu wamewatupia walimu tu.
Duuuh! Hii ndio kubwa kuliko