Mara (na maeneo jirani): Muda wa saa 4:47am tetemeko limepita

Mbona hiyo dira inatupeleka U
kwa Muzeveni.
 
huku tetemoko ....huku Nzige...Huku Covido....huku ....

Tubuni na kuiamini injili
 
Ukiona hivyo ujue ajikwezaye anaenda kushushwa soon as possible .kila mtu ajiandae kwa yanayoenda kutokea
 
nilikuwa usingizini, mimi kwa mawazo yangu nikajua ni mchawi amekuja kunichezea sasa ametua juu ya paa ndio maana nyumba yote inatetema. Kwa hofu ikabidi nijifunike ghubi ghubi ili kama amekuja kunimaliza animalize kimya kimya nisimwone
 
Lina uhusiano wowote na yanayoendelea nchini sasa hivi?

Labda ni ishara maalum!

Kitu kama salam hivi!

Jamaa wa Butiama akimpelekea ujumbe yule wa Chato!

Naomba kiungwana kabisa kukuuliza mzee wa kujificha nyuma ya Tastatur. Leo huyo unayemchuria kwa bundle lako akitokea pale magogoni utakuwa muungwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…