Mara (na maeneo jirani): Muda wa saa 4:47am tetemeko limepita

Mara (na maeneo jirani): Muda wa saa 4:47am tetemeko limepita

11 March 2021
Butiama, Musoma
Tanzania

Ukubwa wa tetemeko ni Magnitude 4.7 - limetokea eneo-kitovu dira inasoma (1.510°S 34.279°E) kilometa 20 Kusini-Kusini-Magharibi (SSW) ya Tarime Tanzania . Chanzo cha habari kituo cha serikali ya Marekani cha kurekodi matetemeko ya ardhi. https://earthquake.usgs.gov/earthquakes/eventpage/us7000di0h/executive

M 4.7 - 20 km SSW of Tarime, Tanzania​

Mbona hiyo dira inatupeleka U
kwa Muzeveni.
1615432358473.png
 
huku tetemoko ....huku Nzige...Huku Covido....huku ....

Tubuni na kuiamini injili
 
Ukiona hivyo ujue ajikwezaye anaenda kushushwa soon as possible .kila mtu ajiandae kwa yanayoenda kutokea
 
nilikuwa usingizini, mimi kwa mawazo yangu nikajua ni mchawi amekuja kunichezea sasa ametua juu ya paa ndio maana nyumba yote inatetema. Kwa hofu ikabidi nijifunike ghubi ghubi ili kama amekuja kunimaliza animalize kimya kimya nisimwone
 
Lina uhusiano wowote na yanayoendelea nchini sasa hivi?

Labda ni ishara maalum!

Kitu kama salam hivi!

Jamaa wa Butiama akimpelekea ujumbe yule wa Chato!

Naomba kiungwana kabisa kukuuliza mzee wa kujificha nyuma ya Tastatur. Leo huyo unayemchuria kwa bundle lako akitokea pale magogoni utakuwa muungwana.
 
Back
Top Bottom