Nawaza tuu!
Utakua ndio mwisho wa maendeleo ya Teknolojia.
Vita kila mahali
Na siajabu maisha yakawa magumu na ya hatari zaidi ya ilivyo sasa.
Na Hapo Ndipo Tutakapo Amini MZUNGU Ukitoa 'Z' ni MUNGU!
Uzi Tayari!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh mkuu, are you serious ??Itafika mahali sisi waafrika tutaenda kununua nyuma nabkushika viwanja china na mataofa mengine huko
Kwa viongozi kama "stone", we are finished.
Nawaza tuu!
Utakua ndio mwisho wa maendeleo ya Teknolojia.
Vita kila mahali
Na si ajabu maisha yakawa magumu na ya hatari zaidi ya ilivyo sasa.
Na Hapo Ndipo Tutakapo Amini MZUNGU Ukitoa 'Z' ni MUNGU!
Uzi Tayari!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi itakuwa zangu yangu kuongoza MarekaniItafika mahali sisi waafrika tutaenda kununua nyuma nabkushika viwanja china na mataofa mengine huko
Ila jamani ehee! tusiombee iwe hivyo maana hakuta kuwa na mtetezi kama wa Haki za binadamu,Shirika la chakula duniani,Jeshi la UN n.k, tuta uliwa ovyo na hakuna wa kuuliza,tuta kufa kama dagaa.Nawaza tuu!
Utakua ndio mwisho wa maendeleo ya Teknolojia.
Vita kila mahali
Na si ajabu maisha yakawa magumu na ya hatari zaidi ya ilivyo sasa.
Na Hapo Ndipo Tutakapo Amini MZUNGU Ukitoa 'Z' ni MUNGU!
Uzi Tayari!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah naenda kujimegea kipande Cha Beverly hills [emoji1787][emoji1787][emoji1787]huu ududuna wa mwafrika baanaa hahahahah ok hati miliki za bilgeti na wale jamaa wa epo zote za kwangu. hati miliki za teknolojia y satellites na teknolojia yote inauohusu mambo ya anga na nucler system nimewahi ni vya kwngu na ukoo wngu. vilivyobaki vyote chukueni
hapo namaanisha NASA , INTERNATIONAL SPACESTATION, KAMpUNI ZA ELON, VYYOTE CHINI YA UMILIKI WANGU
huu ududuna wa mwafrika baanaa hahahahah ok hati miliki za bilgeti na wale jamaa wa epo zote za kwangu. hati miliki za teknolojia y satellites na teknolojia yote inauohusu mambo ya anga na nucler system nimewahi ni vya kwngu na ukoo wngu. vilivyobaki vyote chukueni
hapo namaanisha NASA , INTERNATIONAL SPACESTATION, KAMpUNI ZA ELON, VYYOTE CHINI YA UMILIKI WANGU