Mara Paaap!! Tumebaki watu weusi tupu

Mara Paaap!! Tumebaki watu weusi tupu

Hiiii yani Jiwe na mwanae wakuachie kizembe hivyo?
huu ududuna wa mwafrika baanaa hahahahah ok hati miliki za bilgeti na wale jamaa wa epo zote za kwangu. hati miliki za teknolojia y satellites na teknolojia yote inauohusu mambo ya anga na nucler system nimewahi ni vya kwngu na ukoo wngu. vilivyobaki vyote chukueni

hapo namaanisha NASA , INTERNATIONAL SPACESTATION, KAMpUNI ZA ELON, VYYOTE CHINI YA UMILIKI WANGU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ukimiliki wewe vitakuwa tu pambo maana wenye utaalamu ndio hivyo hawapo[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahah naenda kujimegea kipande Cha Beverly hills [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Safari ni ndefu sana hapa Mkuu utaniachia hata ekar kadhaa hivi
 
Nawaza tuu!
Utakua ndio mwisho wa maendeleo ya Teknolojia.
Vita kila mahali
Na si ajabu maisha yakawa magumu na ya hatari zaidi ya ilivyo sasa.

Na Hapo Ndipo Tutakapo Amini MZUNGU Ukitoa 'Z' ni MUNGU!

Uzi Tayari!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizi fantansies za kipumbavu sana

Badala tukae na kujengea our own civilization,tuko hapa tukapiga stori za kipumbavu sana kama zile tukiwa la pili au la tatu!

Mentality za ajabu sana hizi,za kua na ndoto ya kwenda kulowea alichojenga superior race zaidi yako!

Upumbavu ulioje!
 
Back
Top Bottom