[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]boko haramuInawezekana mbona
Cha msingi awepo straika na viungo wazuri tu
Kuna mdau hapa anasema bocco mzee sana kukata kona shida eti[emoji23][emoji23][emoji23] mpaka atafutwe mbadala ndo tutafuzu
Hiyo siyo sababu mkuuTunaongoza kundi bosssi
Miongoni mwa hao tutakutana na mmojawapo hatua ya mtoano endapo tukiongoza kundi.Kwani hawa tuko kundi moja?
Hivi baada ya kufuzu kwenye kundi mtu anacheza mechi ngapi tena ili aqualify?Miongoni mwa hao tutakutana na mmojawapo hatua ya mtoano endapo tukiongoza kundi.
Mechi 2 home and awayHivi baada ya kufuzu kwenye kundi mtu anacheza mechi ngapi tena ili aqualify?
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay kumbe tunacheza knockout stage moja tu then Qatar hii hapa..Mechi 2 home and away
Tuombe tupangwe na akina south A kama akifuzu au akina Mali angalau.Ni kweli lakini Chance ni kubwa
Hahaha watz ila hatujiamini kabisaaaMuombe aliekaribu yako akupige Kofi ili utoke usingizini haraka sana