Mara Paap! Taifa Stars hii Hapa World Cup!! Itakuwaje?

Mara Paap! Taifa Stars hii Hapa World Cup!! Itakuwaje?

Inawezekana mbona

Cha msingi awepo straika na viungo wazuri tu

Kuna mdau hapa anasema bocco mzee sana kukata kona shida eti[emoji23][emoji23][emoji23] mpaka atafutwe mbadala ndo tutafuzu
Naunga mkono hoja.
 
Inawezekana mbona

Cha msingi awepo straika na viungo wazuri tu

Kuna mdau hapa anasema bocco mzee sana kukata kona shida eti[emoji23][emoji23][emoji23] mpaka atafutwe mbadala ndo tutafuzu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]boko haramu
 
Mnapangwa kundi moja na Chile, Spain, na Ukraine.

Mechi ya kwanza mnapigwa nane, mechi ya pili mnakula tisa, mechi ya tatu mnahurumiwa, mnapigwa saba.

Mtarudi Bongo mmechoka sana!
Aah.
Chile tunakomaa wana draw
 
Back
Top Bottom