Mara Paap! Taifa Stars hii Hapa World Cup!! Itakuwaje?

Mbona tunafuzu,tena mchekea sana tukishinda mechi zote nje ndani tunafuzu.
 
Mnapangwa kundi moja na Chile, Spain, na Ukraine.

Mechi ya kwanza mnapigwa nane, mechi ya pili mnakula tisa, mechi ya tatu mnahurumiwa, mnapigwa saba.

Mtarudi Bongo mmechoka sana!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we jamaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi kama nchi hatuwezi nunua mafundi wa kabumbu angalau 4 wabadili uraia tuimarishe timu japo tutoe sare 2.

Mfano unakuwa na washambuliaji kama Salaa wawili pale mbele.

Au itakuwa aibu na unyonge sana?
 
Ndio Tunaiombea Team Yetu ya Taifa ishiriki World Cup 2022.

Ndio imesha qualify sasa.
Mara paap imepangwa kundi moja na Team kama France, England, Brazil, Germany, Italy, Belgium n.k hivi tutatoboa?

Mkuu Acha Kuota ndoto za Mchana,
Kufuzu haiwezekani...Tuongee tuu Ukweli....
Kwa Ubora gani sasa??
Unajua Watanzania wanaoenda sana Soka,Ila wanakataa Mchakato wa Mafanikio...
Wanataka yaje tuu Paap!
Mi ndio Maana Nawaamini sana Wanariadha Kina Alphonce simbu,
Akikuambia Naenda Kusinda NBA half marathon na kweli kashinda sababu hategemei mtu mwingine ni yeye tuuu na Mazoezi.Anajua kwa kiwango hiki...Yaani kwa speed hii ni Speed ya Kimataifa Lazima nishinde, natumia Dakika 58 Kwa 21km unashinda tuuu...
Sasa njoo kwenye Mpira[emoji3516][emoji2][emoji2]
Timu imepangiwa kundi na Wenye viwango vya chini wenzake...Sasa atoke hapo apangiwe makundi/Mtoano na Timu na Kaskazini Au Africa Magharibi Ghana,Ivory coast Mali Togo,Senegal,Burkinafaso,Nigeria,nk utadhangaa
Utasema Hiii mbona tumetolewa?
Ni Kwamba Bado Tulikuwa tunajipa moyo kwa mafanikio ya muda mfupi.[emoji2957][emoji30]
 
Ndio Tunaiombea Team Yetu ya Taifa ishiriki World Cup 2022.

Ndio imesha qualify sasa.
Mara paap imepangwa kundi moja na Team kama France, England, Brazil, Germany, Italy, Belgium n.k hivi tutatoboa?
Haya ndio madhara ya kushiba magimbi, endelea kuota
 
[emoji848][emoji848]
 
Ikitokea tumefuzu wote mnaosema hatuwezi kufuzu muhame, maana hatutaki watu wasiokuwa na imani.

Tanzania itafuzu kwa imani tu .
Tukifuzu itakuwa big deal kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…