Ndio moja.Okay kumbe tunacheza knockout stage moja tu then Qatar hii hapa..
Tuloge tu sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio moja.Okay kumbe tunacheza knockout stage moja tu then Qatar hii hapa..
Tuloge tu sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haitakaa itokee. Thread closedNdio Tunaiombea Team Yetu ya Taifa ishiriki World Cup 2022.
Ndio imesha qualify sasa.
Mara paap imepangwa kundi moja na Team kama France, England, Brazil, Germany, Italy, Belgium n.k hivi tutatoboa?
Labda kutobokaNdio Tunaiombea Team Yetu ya Taifa ishiriki World Cup 2022.
Ndio imesha qualify sasa.
Mara paap imepangwa kundi moja na Team kama France, England, Brazil, Germany, Italy, Belgium n.k hivi tutatoboa?
Ziyech, Hakimi, Diatta, Slimani...Huwezi kufuzu mbele ya Mane, salah, Benrahma, Mahrez, Kassie, Ihenacho..bahati hiyo haipo.
Mnapangwa kundi moja na Chile, Spain, na Ukraine.
Mechi ya kwanza mnapigwa nane, mechi ya pili mnakula tisa, mechi ya tatu mnahurumiwa, mnapigwa saba.
Mtarudi Bongo mmechoka sana!
Hatuwezi kutoboa mkuuHahaha watz ila hatujiamini kabisaaa
Ukumbuke kuna mechi za play off mkuu huko ndo unaenda kukutana na Giants wa AfrikaMbona tunafuzu,tena mchekea sana tukishinda mechi zote nje ndani tunafuzu.
Ndio Tunaiombea Team Yetu ya Taifa ishiriki World Cup 2022.
Ndio imesha qualify sasa.
Mara paap imepangwa kundi moja na Team kama France, England, Brazil, Germany, Italy, Belgium n.k hivi tutatoboa?
Haya ndio madhara ya kushiba magimbi, endelea kuotaNdio Tunaiombea Team Yetu ya Taifa ishiriki World Cup 2022.
Ndio imesha qualify sasa.
Mara paap imepangwa kundi moja na Team kama France, England, Brazil, Germany, Italy, Belgium n.k hivi tutatoboa?
Mini nitahama na kuhamia ChatoIkitokea tumefuzu wote mnaosema hatuwezi kufuzu muhame, maana hatutaki watu wasiokuwa na imani.
Tanzania itafuzu kwa imani tu .
[emoji848][emoji848]Mkuu Acha Kuota ndoto za Mchana,
Kufuzu haiwezekani...Tuongee tuu Ukweli....
Kwa Ubora gani sasa??
Unajua Watanzania wanaoenda sana Soka,Ila wanakataa Mchakato wa Mafanikio...
Wanataka yaje tuu Paap!
Mi ndio Maana Nawaamini sana Wanariadha Kina Alphonce simbu,
Akikuambia Naenda Kusinda NBA half marathon na kweli kashinda sababu hategemei mtu mwingine ni yeye tuuu na Mazoezi.Anajua kwa kiwango hiki...Yaani kwa speed hii ni Speed ya Kimataifa Lazima nishinde, natumia Dakika 58 Kwa 21km unashinda tuuu...
Sasa njoo kwenye Mpira[emoji3516][emoji2][emoji2]
Timu imepangiwa kundi na Wenye viwango vya chini wenzake...Sasa atoke hapo apangiwe makundi/Mtoano na Timu na Kaskazini Au Africa Magharibi Ghana,Ivory coast Mali Togo,Senegal,Burkinafaso,Nigeria,nk utadhangaa
Utasema Hiii mbona tumetolewa?
Ni Kwamba Bado Tulikuwa tunajipa moyo kwa mafanikio ya muda mfupi.[emoji2957][emoji30]