generationn Z
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 454
- 748
Unaisi nini kitatokea
1..
2..
3..
4..
Narudi kupitia majibu
1..
2..
3..
4..
Narudi kupitia majibu
Jalibu tu kufikilia ikitokea uganda waamue kufunga mto nile ni nini kitajili tuache pembeni utotoUtoto raha sana
Naanza kuona vita kubwa ikiibuka kuanzia misiri kushka hapo uganda kumsaka aliyefungaItasikitisha sana
Hakika aache janja janja anatuona wakuja.😂Fanya assignment kijana acha ujanja
Uganda, Tanzania na kenya wanaweza kuanzisha miradi mikubwa ya kilimo cha umwagiliaji ili kureplace hayo maji yaliyokuwa yakitoka kupitia mtoUnaweza kuzuia shughuli zisifanyike mtoni au ila sio kuzuia mto. Halafu maji uyaelekezs wapi?