Mara: RC Hapi Awasimamisha Kazi Watendaji; Asema Kazi Inaendelea

Hapi Ameamka katika kutoa bla bla!
Mtu ana madaraka ya kufanya kazi halafu ana lia lia kwa Rais, ati watu chini yake wanakula rushwa , asijifikire u RC ni u Boy Scout.
 
Hizo ndio kazi tunataka ufanye kama mkuu wa mkoa na sio zile mara daktari amemkalipia mgonjwa, mara mchina kamnyanyasa mtanzania. Piga kazi zenye akili na Mama atakuona.
 
Hapi Ameamka katika kutoa bla bla!
Mtu ana madaraka ya kufanya kazi halafu ana lia lia kwa Rais, ati watu chini yake wanakula rushwa , asijifikire u RC ni u Boy Scout.
Kwa hili nitamtetea;

RC hana Mamlaka dhidi ya Watendaji waliopo chini yake.

Kuanzia RAS, Wakurugenzi, Watendaji wa Kata/Mitaa/Vijiji.

Mkurugenzi, RAS na DAS ni wateule wa rais kama alivyo RC kwa hiyo hana ubavu zaidi ya kuwasemea kwa Rais ambaye ndiye mwenye rungu.
 
Bado hajakamilisha kazi mtu wa mwisho kutoka baada ya hao alikua ni yeye sijui anasubiria nini?
 
Ukiwa mkuu wa mkoa unatakiwa kuwa na furugu za kutosha.
Kwani mteule wa Rais ndo nani?
Akila rushwa TAKUKURU ya mkoa tosha kumfungisha firago.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…