Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani ningekuwa mteuaji ningewatumbua Wakurugenzi wote wa mkoa wa Mara.
Kwa hili nitamtetea;Hapi Ameamka katika kutoa bla bla!
Mtu ana madaraka ya kufanya kazi halafu ana lia lia kwa Rais, ati watu chini yake wanakula rushwa , asijifikire u RC ni u Boy Scout.
Ukiwa mkuu wa mkoa unatakiwa kuwa na furugu za kutosha.Kwa hili nitamtetea;
RC hana Mamlaka dhidi ya Watendaji waliopo chini yake.
Kuanzia RAS, Wakurugenzi, Watendaji wa Kata/Mitaa/Vijiji.
Mkurugenzi, RAS na DAS ni wateule wa rais kama alivyo RC kwa hiyo hana ubavu zaidi ya kuwasemea kwa Rais ambaye ndiye mwenye rungu.