Mwana duh!
Ilikuwa mwaka jana January , jamaa tunayefanya naye kazi tulikuwa tumepanga nyumba moja akawa haniambii anavyopata extra money. Nikamuuliza, inakuwaje?
Akanambia huwa na-bet, niliogopa kukwambia mapema nikihisi utaniona mpuuzi.
Nikamwambia akanifundisha, tukawa tunabet online.
Uefa ya mwaka jana baada ya kufundishwa jinsi ya kubet, nikapiga laki 4. Nikamuonesha akafurahi sana. Tukaenda kufanya shopping ya chakula.
Kuanzia hapo nikawa na-bet nawakati mwingi tunapata pesa za matumizi ya katikati ya mwezi kwa kubet tu.
Sasa juzi hapa jf kuna mtu alitoa mfumo mzuri wa kubet, nikaufatisha kama vile vile, utofauti ulikuwa kuchagua teams tu.
Yaani nimejikuta nakula bingo la laki 9 na points.
Kubeti hakumalizi shida zako ila ukifumania, zinasogeza malengo yako kiasi.