Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena alipiga mkwara ole wake mje amshike mtu...mpaka mke wake akaanza kuongea kwa lugha yao akim'bembeleza mumewe ndio akaacha..H
Huyo mzee alivyomtandika alifanya Jambo jema Sana.
AmiinMauti ni roho inatembea kila siku ikitafuta wa kumtoa uhai. Mauti na kuzimu ni roho hatari sana zikimuingia mtu hata abembelezwe vipi atajiua tuu kukamilisha sadaka ya kuzimu
Tuombe Mungu tufe kwa faida katika Kristo Yesu