Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 20,921 Reaction score 49,014 Apr 18, 2023 #21 Ila inasikitisha Sana.
MAWEED JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 3,550 Reaction score 12,239 Apr 18, 2023 #22 Joannah said: H Huyo mzee alivyomtandika alifanya Jambo jema Sana. Click to expand... Tena alipiga mkwara ole wake mje amshike mtu...mpaka mke wake akaanza kuongea kwa lugha yao akim'bembeleza mumewe ndio akaacha..
Joannah said: H Huyo mzee alivyomtandika alifanya Jambo jema Sana. Click to expand... Tena alipiga mkwara ole wake mje amshike mtu...mpaka mke wake akaanza kuongea kwa lugha yao akim'bembeleza mumewe ndio akaacha..
Accumen Mo JF-Expert Member Joined May 15, 2022 Posts 18,036 Reaction score 39,882 Apr 18, 2023 #23 Mapenzi mabaya sana lazima ujifunze kuwa kauzu la sivyo yatakuendesha sana.
Amos David Mathias JF-Expert Member Joined Sep 3, 2022 Posts 1,576 Reaction score 3,094 Apr 19, 2023 #24 KATAA NDOA NDOA NI UTAPELI NDOA NI WIZI NDOA NI BIASHARA YA UTUMWA KATAA NDOA
To yeye JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 35,686 Reaction score 86,968 Apr 19, 2023 #25 mama D said: Mauti ni roho inatembea kila siku ikitafuta wa kumtoa uhai. Mauti na kuzimu ni roho hatari sana zikimuingia mtu hata abembelezwe vipi atajiua tuu kukamilisha sadaka ya kuzimu Tuombe Mungu tufe kwa faida katika Kristo Yesu Click to expand... Amiin
mama D said: Mauti ni roho inatembea kila siku ikitafuta wa kumtoa uhai. Mauti na kuzimu ni roho hatari sana zikimuingia mtu hata abembelezwe vipi atajiua tuu kukamilisha sadaka ya kuzimu Tuombe Mungu tufe kwa faida katika Kristo Yesu Click to expand... Amiin
Fredy89 Member Joined Jun 28, 2012 Posts 96 Reaction score 102 May 11, 2024 #26 mapenzi sio kwa watu dhaifu,huu msemo ishi nao utakusaidia uko mbelen,vijana tunaumia kwa sababu ya kuwekeza kwny mapenzi
mapenzi sio kwa watu dhaifu,huu msemo ishi nao utakusaidia uko mbelen,vijana tunaumia kwa sababu ya kuwekeza kwny mapenzi
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 May 11, 2024 #27 ndo mana mishangazi mingine huamuwa kuyapa matoto yao mbunye kudhibiti kumbukumbu kama hizo ,zakuaza kusema angekuwa na wajukuu
ndo mana mishangazi mingine huamuwa kuyapa matoto yao mbunye kudhibiti kumbukumbu kama hizo ,zakuaza kusema angekuwa na wajukuu