Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
. Unanitisha mkuu😲😲😲gono sugu litakalo ozesha dushe Lako... linakunyemelea... Litaziba mirija hao watoto utawatazama wajirani tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
. Unanitisha mkuu😲😲😲gono sugu litakalo ozesha dushe Lako... linakunyemelea... Litaziba mirija hao watoto utawatazama wajirani tu
Ukiona kelele zake zinakusumbua jua tu amekushinda tayari[emoji23][emoji23]. Axa we huon tukikaa kimya ...ndo wanakuja kutipigia kelele JF [emoji23][emoji23]
Habari za Wanaume kulia hapa Jamii Forums kuumizwa na Wanawake zinazidi kushika kasi, pole sana Mkuu kwa kuachwa songa mbele kuna maisha baada ya kuachwa.
Another man down
We need Back up
Eagle do you copy. !
Kuanza upya sio ujinga.
HIJAWAHI TOKEA TANGU NIZALIWEKuna mtu alinifunza kuipenda haki. Kwa kuyapitia maumivu na mazito nilijifunza kuwa na huruma. Kwa mara ya kwanza nikamuamini mwanamke. Ama kweli mapenzi ni matamu mno, nilijikuta nazama zaidi kwenye penzi zito. Nikampa moyo wangu nikampenda kupita maelezo. Kabla ya hapo sikutaka kabisa kumuamini mwanamke yoyote ila akanibadilisha mtazamo wangu.
Nikaamini yupo kwa ajili yangu nikachagua kumfanya wa maisha. Niliamini ananipenda kweli ila yote yalikuwa ni maigizo. Alikuja kuharibu karibu na mwisho. Ilikuwa ni muda mchache tufunge pingu ya maisha pamoja.
Niliumia zaidi ya kuteseka mpaka nikajiuliza yawaje mimi mwanaume nimenasa kwenye mtego wa kitoto. Alifanya kuigiza kila kitu, nikajisahau uongo nikauwona ni ukweli mtupu.