Mara ya kwanza kutumia vilevi tofauti tofauti haya ndio yaliyonikuta

Mimi silewi na nilijiapiza sitalewa baada ya kuona mwanangu nilienda nae club kwenda kutita kwenye cube ya DJ
 
Hivi ulanzi unalewesha?
Mimi nimekunywa sana nipomaliza chuo nilienda iringa nikafanya kilimo maeneo ya Iyeme jirani mlandege nilikuwa nabeba lita na nusu daily naenda nao shambani nilikuwa nafuata mwenyewe ule ulichacha kabisa ulanzi ni biashara kubwa sana maeneo hayo!
Bangi hapana sijawahi vuta wala sitafuta nimekulia kwenye familia ambayo kuanzia mjomba babu bibi wote wanapiga bangi na hadi sasa ingawa age imeenda wanavuta
 
Daaaah, heshimu gongo...!..

siku ya kwanza kuionja tuliruka fensi ya bwenini kwetu (form 6) tukaenda kwa mama mmoja hivyi hadi leo sipakumbuki vizuri ........ile tumepiga kitu cheupe mimi sikijui vile kichungu na kikali ila baadae kinakua kitamu saa 2 usiku mpaka saa 6 (nilisimuliwa maana sikujitambua) baada ya kurudi nikaenda kwa patron kumtukana......

kiufupi mtiani wa mwisho niliufanyia nje kama pc baada ya shule nzima kunifahamu
😂😂😂
 
Mara ya kwanza kutumia kilevi aina ya Ulanzi ilikuwa mwaka mwaka 2012 mkoani mbeya nilikuwa mwanafunzi shule X huko jijini mbeya tulitoroka usiku tukaenda na wanangu chimbo flani ivi wana wakaagiza ulanzi tukaanza kupiga mambo, mimi nilikuwa mgeni, ila kulikuwa na kautam flani, ajabu nashangaa silewi kama wengine walivyowahi kudai ni kilevi.

Basi bana nikala vitu kama birika moja hivi lita 1.5 ile sasa imefika time ya kuondoka ndo kimbembe kikafuata kila nikijaribu kunyanyuka ngoma haiendi joint zote za mwili nilihisi zimetenguliwa yaani kila nikinyanyuka nahisi magoti hamna mifupa, wana waliniburuza hadi shule walipofika wakapanda ukuta wakaingia wakaenda hostel wakachukua magodoro wakaja wakatandika kwa ndani kisha wakaninyanyua wakanipandisha ukutani na kunisukumia ndani kama kiroba cha mahindi maana pasipo kufanya hivyo nikikutwa nje msala utakuwa wa wote, hapa ilipita wiki nzima naumwa.

SIKU niliyovuta Weed nakumbuka ilikuwa 2015 niko mkoa X kule kilimo cha weed ni kama zao la kawaida tu wanapiga mixer weed na mahind na life nilaenda, nakumbuka siku hiyo na mwana tumejipanga tuibuke kwao kigori flani kutangaza nia ya kuchumbia jamaa angu akanambia tuvute weed ndio tutapata confidence ya kuzungumza kwa wakwe, hapo wote tukaona wazo la mwana liko dope, tukazama chimbo tukala mjani wa kutosha, ile tumetoka mimi nikaona njia nzima imejaa maji yaani kuna madimbwi ya maji kibao kila ninapokanyaga, hapo ikumbukwe ni mida ya saa nane mchana jua kali ila mwamba naona njia nzima ni madimbwi ya maji, basi kidume nikakunja suruali nikaanza kuruka njia nzima nakwepa maji yaani nilitembea kwenye pembe za barabara nikiruka huku natua kule naruka kule natua hapa.

Yote ni safari ya kwenda ukweni, kimbembe tumefika naona mji mzima uko bwawani hadi wanapoweka viti naona ni maji tupu mwamba nikarukia kwenye ukingo wa msingi wa nyumba, mda wote mazungumzo yanaendelea mwamba niko nabembea tu ukutan nikono kutafta balance ya kusimamia pembe ya ukuta, hadi mzee wa mji alipokuja akatutimulia mbali, walihisi nimerogwa maana nilikuwa ndio nimerudi nyumbani baada ya kumaliza kidato cha sita. kesho yake habari ziliosambaa nimewehuka na ilikuwa aibu ya karne kwangu.

SIKU kwanza Kunywa K VANT, ilikuwa 2017, kuna manze alinizungusha almost miezi minne ila mungu si Athuman akajaa 18 sasa mwamba nikakumbuka zile stori za vijiweni kuwa ukila vant shoo shoo, nikakimbia kwa mangi nikachukua zangu Vant chupa ndogo hapo ni baada ya kuchukua room tayari kwa ajili ya kazi maalum, nikaigudua chap kabla manzi hajafika maana tayari nilimpa location ya room namba.

Ile nimetulia dakika chache manzi kaingia, namuona huyu ila hata nguvu ya kunyanyua kinywa kumsemesha siwezi, kichwa kizito macho yanafunguka kwa shida kijasho chembamba kinatoka hapa sikumbuki kilichoendelea ila nilikuja kustuka saa11 alasiri nipo peke yangu lorge na nimelala na viatu, koti mzula saa na kila kitu, afu kichwa kinauma hatari, na sina kumbukumbu nilimelala wapi na ilikuwaje, hapo nikaanza kusearch channel za kichwa ila kumbukumbu kama inakuja alafu inakata, cha kwanza nikajikagua mifukoni na kila kitu nikajikuta niko fresh, ile kushika simu nilikutana na bonge la messege ndio lililonipa picha kamili ya tukio zima ilivyokuwa, ila majibu ni kwamba nililala usingizinikaacha dem kwenye kiti akaamua kusepa na yeye baada ya kujaribu kuniamsha bila mafanikio.

Siku nimevuta FEGI, nakumbuka hapa sio mda sana ila tulikuwa na wana tunakula zetu nyama choma na serengeti lite zimejaa meza, na madem zetu jamaa angu anakula moshi mdogo mdogo kanipasia kidogo namimi nikajikakamua nikapiga fundo moja kisha nikameza moshi alafu nkauachia kidg puani, haloooooo, yale maumivu yake niliyoyapata kifuan mda ule moshi unashuka tumboni nilihisi kuna mtu anapiga drilling kifuani alafu nilikohoa hadi ushuzi ukatoka mbele ya dem wangu ile pwu pwu puuuyuh! kudadek niliumbuka na walinicheka sana pamoja kwama dem wangu aliumizwa sana na kitendo kile na kuniasa nisirudia ila mimi kichwani mwangu niliona aibu na nilijiapiza kutorudia.

Nisiwachoshe ila vilevi vyote vilinipga matukio hadi nilipoangukia kwenye serengeti lite, na vinywaji jamii ya wine tu ndivyo ninavyotumia tu. Kama na ww ulishawahi kupigwa tukio tiririka hapa.

Brother wewe ni kichwa panzi ndio tunavyowaita kitaa.
Huo ulanzi nilikuwa naweka Lita 5 kwenye friji nauchakata taratibu hapo Veta mbeya.
 
UGORO
Wakuu asikwambie mtu kitu kula ugoro kwa mara ya kwanza...nakumbuka nlikua form v ile..toka mtaani nilikua namba kwenye uvutaji wa bangi na hainipi shida yoyote..

sasa kutokana na mazngira ya bweni kubana sikuweza kupata muda wa kutafuta bangi,nikaona bora nijifunze kula ugoro..

nlimuagiza mlinzi akaninunulia wa buku,wakati wa kwenda prepo,me nkaweka ugoro mdomoni halafu kwenye pilika pilika nkajikuta nmemeza mate yote,,nliuona moto..

nilianguka ghafla kama nadegedege bila kutikisika,macho nimefumba,jasho mwili mzima...wakamuita din of student alinipekua sana lakn hakukuta chochote..

Nakuja shtuka saa 4 asubuhi nipo kwenye hospital ya shule na nikapewa beji(waliosoma seminary wanaijua) ya specia case kuwa naumwa pumu... Ila ugoro nyie
 
Iko hivyo Mie hata ninywe bombardier sizimi nikiwa location ya unywaji. Ila nikifika home nafungua geti mwenyewe napark fresh sasa kuna ile nasema ngoja kidogo nisikilizie nalaza siti aisee hapo lazima nikate moto

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nulikuwaga na wanangu 2015 Advance Njombe iyo, tumebaki Form 6 tu Shule nzima likizo ya mwisho wa Mwaka tukaenda kijijini ndani ndani uko wanauza Ulanzi na Kitimoto balaa yani ndoo ya ulanzi buku tu, sasa wanangu wote ni wa kule na wanalewa hasa, si wakanywa bwana mimi nipo zangu na mdudu mdogo mdogo, kuja kushtuka giza limeingia na hapo tuko kwenye vilabu vya pombe 😂😂
Ikaanza safari ya kurudi shule mimi peke yangu ndio mzima ilibiki nitafute fimbo ili nipige watu ndio tufike shuleni maana walikuwa wakikutana na mtu wanataka wampige
 
Nulikuwaga na wanangu 2015 Advance Njombe iyo, tumebaki Form 6 tu Shule nzima likizo ya mwisho wa Mwaka tukaenda kijijini ndani ndani uko wanauza Ulanzi na Kitimoto balaa yani ndoo ya ulanzi buku tu, sasa wanangu wote ni wa kule na wanalewa hasa, si wakanywa bwana mimi nipo zangu na mdudu mdogo mdogo, kuja kushtuka giza limeingia na hapo tuko kwenye vilabu vya pombe [emoji23][emoji23]
Ikaanza safari ya kurudi shule mimi peke yangu ndio mzima ilibiki nitafute fimbo ili nipige watu ndio tufike shuleni maana walikuwa wakikutana na mtu wanataka wampige
Nimecheka sana hapo kutafuta fimbo ili watu waende. Mimi mara ya kwanza nilikunywa Ulanzi pia. Tulikuwa form IV shule moja Njombe basi tukaenda kufanya project kijiji kimoja cha jirani na shule kinaitwa Matola. Imefika saa 10 jioni tukaanza kurudi mdogo mdogo shule kwa vikundi.

Basi tukawa tumeshikwa na kiu ya maji tukagonga nyumba moja kuomba maji ya kunywa tulikuwa kama 7 hivi hee naona mama anatoka na ndoo ya lita 20 ya Ulanzi na vikombe akasema kunyweni aisee ulikuwa mtamu kweli sijapata ona tukakaa chini kunywa.

Kimbebe ilikuwa kurudi shule njiani wengine walikuwa wanasumbua wameshalewa tulivyofika shule mimi nilipitiliza kulala. Kilichotuponza usiku kulikuwa na disco la shule waliolewa wakaenda kufanya fujo disco.

Matron na walimu wakafanya kazi ya kutuliza fujo tukaitwa assemble usiku ule ule amshwa mpaka tuliolala, inshort tuliokunywa wote tulijulikana tena nilivyoamka ndio ulanzi umekolea mahala pake kichwa kinaona nyotanyota tuu. Kesho yake head mistress akapata taarifa na majina ya walevi.

Ilikuwa tupate suspension ila tulilia sana kuomba wazazi wasijue tukaishia kupewa adhabu ya kulima wiki 2 nzima bonge la shamba asubuhi hadi jioni bila kuingia darasani. Ila Ulanzi mtamu jamani nikienda Njombe lazima nikaunywe tena maana toka kipindi kile sijaonja.
 
Back
Top Bottom